Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Unaongea kama ni female....

Mkuu haina cha female wala male, muulize maswali yote 40 mwanamke kama chemistry hazipandi hazipandi tu.
Nikariri miswali yote hiyo ya nini? Ntamuuliza maswali nnayoona yanafaa kadri mazingira yanavyoruhusu na mwenendo wa mazungumzo unayoenda.
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?

Hapo umemaliza mkuu
 
Ili nikugegede leo leo first date...
 
mimi namuuliza swali moja tu

nina laki 5 hapa haina kazi, vipi twaweza kwenda itumia pamoja wikiend hii?
 
Swali la 17 limekaa kisiasa na kindoto eti "Kama ungetawala dunia ungebadilisha kitu gani?". Hahaha nimecheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sanaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] like seriously????...
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?
Hahahahahahahah
 
Hahahahaha
 
afadhali umenena vyema the boss, yaan hayo maswali yote 40 yanatakiwa kujibiwa ama? maana mie nikifika la 5 nishachoka
 
Hahahaaaaa ni kweli kabisaaa...tena hapo kwenye asubuhi.
halafu hiyo namba 3 ndo penyewe haswaaa, huna sababu hata ya kuuliza. unazidisha tu muda wa date halafu ndo unamwambia usiku huu darling, y not kesho.

hahahahahhahahaha
 
We mtundu kuumbee
 
sio hivyo, wengine ukiwauliza mapema unaharibu, wewe zidisha malovee halafu baadae unamweleza hivyo, tena kwa mahaba lazima aingie kingiiii

Noted.....ngoja nije PM
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?

swali la tatu 'limenishanitoa' mara kadhaa hasa pale ambapo naepuka kuwa predictable au nina wasi wasi na response...unasikia tu 'aaam i will have to make some calls kutengeneza mazingira'!dadeki....hapo najiona kama Cristiano Ronaldo kazifumania nyavu fainali ya weldi kapu!
 
maswali kama Polisi?sasa hiyo itakuwa deti au maswali na majibu?
 
swali la tatu 'limenishanitoa' mara kadhaa hasa pale ambapo naepuka kuwa predictable au nina wasi wasi na response...unasikia tu 'aaam i will have to make some calls kutengeneza mazingira'!dadeki....hapo najiona kama Cristiano Ronaldo kazifumania nyavu fainali ya weldi kapu!

Hili ukilipata jibu zuri mapema una relax tu...unasubiri time
 
Back
Top Bottom