Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Maswali 40 ya kumuuliza mwanamke katika deti

Heeee ,ngoja niende kwenye siasa huku tunachoshana tu ,
 
Swali la 17 limekaa kisiasa na kindoto eti "Kama ungetawala dunia ungebadilisha kitu gani?". Hahaha nimecheka sana
 
Sasa kama kila mtu atamuuliza maswali hayo yote si yatakua yamezoeleka sana?
Ukianza tu kuniuliza tu, najua wale waleeeee. Kwangu urafiki hauna formula, tuongee machache au mengi, kuna aina flani tu unajua kwamba huyu mtu tunaendana nae na kuna vitu tunavifurahia pamoja.

Kwangu sina kabisa kanuni, kwenye haya mambo. You just get along automatically.

Unaongea kama ni female....
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?
Your are really greater thinker, big up.
 
Mie naona natural huwa inatake place...yaan things...just flows...
 
You guys you take mapenzi so serious sana kama pesa vile
 
una maswali mengi, kwani we ni polisi?
 
Imenichukua miaka 3 kuuliza maswali yote hayo 40 kwa ex-wangu, wewe unataka kuuliza kwa siku moja? Sasa mmetoka date au mnafanyiana interview ya kazi na kabisa. kwangu mimi kwanza
1 Husifu uzuri wake
2 Namuachia aongee anachopenda kuongea kwani sio kila mwanamke anapenda kuulizwa maswali siku ya kwanza, atahisi kama yupo kwenye interrogation.
 
Wanawake wa kiswahili uwaulize 'saa hizi unafikiria nini'?
kama hawakuona unawaletea 'mapenzi ya kihindi'

Maswali muhimu ni
1.unaishi na nani?
2.unafanya kazi?wapi?
3.Nyumbani lazima urudi leo?why not asubuhi?

Katika ubora wako mkuu.
 
Back
Top Bottom