Maswali 20 kwa Mungu

Sasa akili ndio ina nguvu kvp?hebu fafanua maana usijishughlishe sana na matokeo ya kile unachokidhania(power) bali tuchunguze na uhalisia na hicho unachodai ndio chanzo cha power(akili).

Nasema hivyo kwa sababu kwenye kuomba Mungu nako kuna matokeo,kwenye uchawi pia kuna matokeo na ndio maana hadi sasa watu wanashughlika na hayo mambo kama kusingekuwa na matokeo wasingeendelea nayo.

Sasa ukituambia akili ni chanzo cha power kwamba unaweza hata kumcontrol binaadamu mwenzio mwenye akili pia,ni vyema ungefafanua hili jambo kiasi cha mtu kuelewa unachokizungumzia.
 
Kwa msaada zaidi katafute kutabu cha miracle of your mind by dr murphy au secret by rhonda byne me nimemaliza hizo habari
 
Nlijua maswal kwa mungu Allah kumbe mungu wa wagalatia. Huyo mnamtania mnavyotaka. Haya endeleeni.
 
Kwa msaada zaidi katafute kutabu cha miracle of your mind by dr murphy au secret by rhonda byne me nimemaliza hizo habari
Yeah...nilijua utakuja kusema hivi,ni wazi kwenye hivyo vitabu hakuna jibu la kile nikitakacho kukijua bali kuna maelezo tu ya jinsi ya kupata na kutumia hiyo power.
 
Katika vitabu kuna mengi ya kujifunza wee soma tu
N.B practically is better than theoritically ukitaka kuelewa hizi habari vizuri fanya real practical sio kukaa na theory kichwani halafu utanipa jibu ukishwindwa kufanya hivyo hutojifunza lolote kuhusu habari hizi
 
Mungu amesema siku ya kufufuliwa mtayajua msiyoyajua
Osihofu mungu atakujibu maswali yako 20.
 
Nimekwambia duniani kuna elimu nyingi sana na hatuwezi kuzimaliza,nimekuukiza swali wewe uliyejifunza hiyo elimu ila hauna jibu matokeo yake unataka na mie nisome hivyo vitabu.

Nisikuchoshe mkuu tuishie hapa.
 
Huwezi kujua mambo yote humu yaan iwe kirahisi kama unavyotaka wewe habari hizi sio rahisi kama unavyofikiria

Mtafute ManchoG ni mzuri ktk elimu ya spritual world atakuelezea mengi kama unataka kuelewa ulimwengu wa spritual
 
Baada ya kutumia no. 7 Ndio imekupelekea uandike ulichokiandika
 
Huwezi kujua mambo yote humu yaan iwe kirahisi kama unavyotaka wewe habari hizi sio rahisi kama unavyofikiria

Mtafute ManchoG ni mzuri ktk elimu ya spritual world atakuelezea mengi kama unataka kuelewa ulimwengu wa spritual
Halafu sijataka kujua mambo yote,ndio maana nikakwambia tuishie tu hapa mkuu maana pengine nimeuliza kitu ambacho jibu lake lipo kwenye level ambazo haujafikia.
 
Du..kumbe na mimi naonekana najua kitu.! Ila [emoji120][emoji120] Mkuu

Japo joho ulilonivika ni over size [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Unajua shida wengi hawaelewi spritual world ni nini? na inafanyaje kazi ? Je viumbe kama shetan na majini wapo katka muonekano upi?

Nilikuwa nataka umuuelewe kuhusu spritual world maana mm hatuelewani kuna siku tulikuwa katika mjadala mm na ww nikaona unaelewa kuhusu ulimwengu wa spritual
 
Halafu sijataka kujua mambo yote,ndio maana nikakwambia tuishie tu hapa mkuu maana pengine nimeuliza kitu ambacho jibu lake lipo kwenye level ambazo haujafikia.

Kama mwanafunzi anafundishwa darasani haelewi anatafutiwa mwalimu wa tuition ili apate kuelewa vzr au ww ktk maisha yako ya kusoma hujawahi soma tuition?
 
Sijataka kujifunza hiyo elimu bali nimeuliza tu swali kuhusu hiyo elimu, tatizo wengi wenu mmejikita sana kwenye matokeo ya hiyo power tu ila hamjuulizi zaidi ya hapo.
 
Vimaswali vidogo hivi unapaswa kuniuliza Mimi hii sio size ya Mungu inamana hujui yasiyo wezekana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana?
 
Sijataka kujifunza hiyo elimu bali nimeuliza tu swali kuhusu hiyo elimu, tatizo wengi wenu mmejikita sana kwenye matokeo ya hiyo power tu ila hamjuulizi zaidi ya hapo.

Tz unajua vitu vingi lakini unashindwa kuvipangalia unazunguka sana mpaka inakuwa ngumu mtu kukuelewa

Hiyo power unayoizungumzia ndio inaleta mjadala katika dunia ya leo mi wakati na naanza kujifunza siri za ulimwengu pamoja na sheria zake kuna jambo nimejifunza lkn kabla sijaendelea

Nikuulize kitu ili tuijue what source of that power
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…