Maswali 20 kwa Mungu

Mungu alitumia uroho wa wazungu ili waje africa na hiyo ndo gia ya mungu kuingiza habari njema (ukristo ) lasivyo kusingekua na chakumleta mzungu Africa hivyo na mungu au kristu tusingelimjua. Kwakifupi. Ukoloni ndio ulileta ukristo na si ukristo ulioleta ukoloni
 
Hayo maswali sio saizi ya Mungu,ni maduchu sana.

Tafuta majibu yake humuhumu duniani na utayapata.

Keep an open mind na ufikirie mara mbilimbili na kuchambua utakapopewa majibu,sio unaanza kuyapinga majibu yenyewe.
KWELI kabisa maswali yake yote yanajibika vizuri tu,

Apate mtu mwenye HEKIMA na nguvu za Mungu ndani ya mtu Huyo atajibiwa yote
 
Kwahiyo tunavuta pumzi kwa uwezo wa nani kama. Sio wetu
 
[QUOTE uid=292576 name="CHAMITON" post=17105195]
11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi
hili swali lako limenigusa mno.. ukifikiria kwa umakini utajua kwanini wazungu walileta dini ya kikristo.. dini ya kikristo inafundisha kuwa na huruma, kuwa wanyenyekevu, kuwa watu wa kutokuhoji vitu.. wakati wa ukoloni mababu zetu walikua watata sana yaani hawatii mamlaka ya mkoloni, ndo maana wakoloni wakaintroduce huu ukristo kwa waafrika ili wawe na roho ya huruma, wawe wanyenyekevu, yaani kwa kizungu unaweza kusema walitujenga tuwe SUBMISSIVE.

Kwa maana hiyo basi chochote mwafrika alichokua anatendewa na mzungu, mafundisho ya biblia kutoka kwa wamisionari yaliwaelekeza kuwa watu wa kukubali yanayotokea, NDO ULE MSTARI WA BIBLIA UNAOSEMA AKUPIGAE SHAVU LA KUSHOTO, MGEUZIE PIA NA LA KULIA. Kwamba mwisho wa dunia huyo mkoloni ataenda kuchomwa moto.

Kwa maana hiyo basi, neno la Biblia lilikua faraja sana kwa watumwa kwa kuwa neno liliwaambia, hao wakoloni wanaowatesa wana hukumu yao ambayo ni moto wa jehanam.. UNAONA MZUNGU ALIVYO MJANJA?

Sasa tujiulize swali moja, wote tunajua kwamba mzungu ni mbaguzi, anatuita waafrika masokwe, hapohapo anatuletea biblia tuisome tumwabudu Yesu mwisho wa siku twende tukaishi mbinguni.. hvi hawa jamaa kama huku duniani wanatubagua hivi na kutudhihaki, TUNAAMINI KABISA WAMETULETEA YESU ILI TUOKOKE MWISHO WA SIKU TUKAISHI NAO MBINGUNI??? YANI MZUNGU AMBAE MBAGUZI AISHI NA MWAFRIKA YAAN SOKWE, AISHI NAE MBINGUNI?

TAFAKARI.[/QUOTE]Kwaiyo dini ya kweli Ni ipi..?
 
Walam yakulahu kufuan ahad "nawala hamfanani na chochote duniani"
 
tatiza kinacho kusumbua wewe ni ukiristo na waisilamu wote tunajua sasa wewe hayo maswali yako kwanza kamuulize aliye kufundisha dini na kama akishindwa njoo pm naapa nitakujibu yote kwa idhni ya mola wangu
Huwa mnawahi kukimbilia huko tuyamalize huku huku
 
Sahii kabisa,
Ukiisoma historian yetu Unaweza jikuta unazichukia Sana hizi dini za mkoloni[emoji3525]
 
Sahii kabisa,
Walishapanga kututawala, ndo wakaja na stories za Wana wa Israel utumwani
 

Naona haya si maswali ya kujibiwa na Mungu, ila kuna viumbe vyake alivyoviumba vitakujibu.
 
Nikweli
 
Kwaiyo dini ya kweli Ni ipi..?[/QUOTE]Dini peleka ng'ombe.
 
Wachangiaji wa mada wengi ni MAPEPO kuliko WANADAMU. Kuwa makini.
 
Mbingu zake ziko wapi ili Mimi Nije niziangalie Kama wewe unaogopa
 
1.Mungu ni mwanaume kwa ushahidi wa maandiko ya Biblia. Ndo maana uitwa Baba.
2.Mke wa kwanza wa Adam aliitwa Lilith na sio Hawa. Lilith alitaka kuwa juu ya Adam kupitia kiburi cha shetani. Baada ya Lilith kuvurugana na Adam, Adam akamlilia Mungu ndipo akampatia Hawa/ Eva.

Lilith akaolewa na mmoja wa mashetani, Lilithi alitangaza vita na uzao wa Adam kwa kuhahikisha anazivuruga ndoa, ndio unayo yaona kwenye ndoa SAsa asili ni vita ya asili ya Adam na mkewe wa kwanza Lilith.
 
Mtumwa niaje bro.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…