Maswali 20 kwa Mungu

yani mimi nna mashine ya kutengeneza pesa halafu niombe tenda ya kutengeneza pesa ili iweje? wanilipe pesa? ambazo naweza nikatengeneza mwenyewe? nonsense.
Mkuu maswali uliyouliza yanathibitisha huna elimu ya uchumi nakushauri ,ujisomee ,na usibishane unajitia aibu nashindwa hats kukuelezea
 
Majibu ya Maswali yako yote Ninayo na Ningependa Nikujibu kwa Huku nikikupa Reference ya Maandiko, please nifuate whatsup 0657 230355.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watumishi wanaweza wasiwe na majibu ya haya maswali yote,
Akikujibu mwenyewe kabisa uliemuuliza naomba uni-tag please.
 
Njia na akili za Mungu hazichunguziki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…