Maswali 20 kwa Mungu

Maswali 20 kwa Mungu

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
8,248
Reaction score
14,770
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke?

2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi?

3.Mungu wakati unamwumba mwanaume uliweka govi, hukujua ni najisi? mbona unasema likwatwe? huko siyo kuediti uumbaji wako?

4.Watakaoingia mbinguni, watafurahi vipi kama ndugu zao wawapendao watakuwa jehanamu?

5.Baada ya gharika ya Nuhu, maji ya mafuriko yalielekea wapi??? Kwa sababu kila mahali palijaa maji.

6.Kwanini ulichelewa kumwumba mwanamke ilihali ulimuumba mwanaume na uhitaji wa mwanamke? Nadhani hapo ndo chanzo cha kujichua.

7.Mungu kwanini uliumba bangi? ni ya kazi gani? Mbona watu wako wanaipinga sana?

8.Mungu kama wewe ni mpangaji wa maisha yetu, kwanini tukusumbue kwa sala?

9.Mbona watu wema wanapatwa na mabaya? Si uliahidi mema ya nchi kwa watenda mema?

10.Kama watu wote ni uzao wa Adam na Eva, mbona tunatofautiana sana...nini chanzo cha kuwepo kwa watu weupe na weusi?

11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi?

12.Mungu una urafiki na shetani? mbona mnakutana mara kwa mara na kupiga stori( Ayubu 1:6-12)

14.Kwanini ulimtese Ayubu kwa lengo la kuridhisha matakwa shetani?

15.Mungu mbona ulimpa Musa amri ya usiue lakini ukampa maagizo ya kuua...Mungu hadi leo pale middle east wanauana.

16.Mungu kwa kuwa ulisema tupumzike siku ya 7, mbona watu wanatembea umbali mrefu kutafuata majumba ya ibada na wengine wanatumia hiyo siku ya 7 kupata pesa kwa njia ya sadaka? kwanini tusibaki nyumbani tupumzike?

17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?

18.Mungu kama unalounganisha hakuna awezae kulitenganisha, mbona ndoa zinavunjika?

19.Mungu hivi Suleiman ndiye aliyekuwa na hekima kuliko wote? mbona alifanya mambo kuntu sana? Wanawake 1000 siyo mchezo...au polygamism ndio hekima yenyewe?

20.Mungu kwanini ulimpa Hitler roho mabaya kiasi kile? yaani alichokifanya humu duniani we acha tu.

Naamini kuna watumishi wa Mungu huku jf, kwahiyo ningepende wanisaidie majibu ya haya maswali...nimeuliza siyo ayajibu Mungu bali watu wenye uelewa na haya mambo...Kama mtu huna jibu kuwa mvumilivu maana wapo wenye ufahamu wa kutosha na siyo kulaani, kuhukumu na kuniona kana kwamba nimepotea...Muhimu zaidi jibu la uongo halitakiwi...pia kama jibu lina utata nitauliza.Karibuni kwa majadiliano yenye nia ya kueleweshana
 
he he he... ha ha ha
Utampata wapi wakati wanasema yuko mbinguni..!🙁🙁🙁
Mkuu si kuna watumishi wake humu duniani??? wasaidie kujibu maswali.
 
Hili upate jibu la hesabu lazima kupitia njia zake au kanuni zake ndio upate jawabu sahihi,Ndugu CHAMITON hili upate majibu ya Maswali yako itabidi kwanza UFE ndio utapata Majibu sahihi kwa Muhusika.jina lake litukuzwe milele daima
 
20.Mungu kwanini ulimpa Hitler roho mabaya kiasi kile? yaani alichokifanya humu duniani we acha tu.
.Mungu hivi Suleiman ndiye aliyekuwa na hekima kuliko wote? mbona alifanya mambo kuntu sana? Wanawake 1000 siyo mchezo...au polygamism ndio hekima yenyewe?
.Mungu kama unalounganisha hakuna awezae kulitenganisha, mbona ndoa zinavunjika?
.

16.Mungu kwa kuwa ulisema tupumzike siku ya 7, mbona watu wanatembea umbali mrefu kutafuata majumba ya ibada na wengine wanatumia hiyo siku ya 7 kupata pesa kwa njia ya sadaka? kwanini tusibaki nyumbani tupumzike?
12.Mungu una urafiki na shetani? mbona mnakutana mara kwa mara na kupiga stori( Ayubu 1:6-12)
Hivi Mungu ana account JF?

Anatumia username gani?

Maana ulivyomwelekezea haya maswali si mchezo...
 
Hili upate jibu la hesabu lazima kupitia njia zake au kanuni zake ndio upate jawabu sahihi,Ndugu CHAMITON hili upate majibu ya Maswali yako itabidi kwanza UFE ndio utapata Majibu sahihi kwa Muhusika.jina lake litukuzwe milele daina.
Nafahamu ni vigumu kupata majibu, ila nini imani wapo watu wanaojua.
 
1.Mungu kama ulimwumba kila mtu kwa mfano wako, je wewe ni mwamaume au mwanamke?

2.Mtu akiugua, aende hospitalini kupewa tiba au akafanyiwe maombi? Na akifanya vyote, kipi kitasaidia zaidi?

3.Mungu wakati unamwumba mwanaume uliweka govi, hukujua ni najisi? mbona unasema likwatwe? huko siyo kuediti uumbaji wako?

4.Watakaoingia mbinguni, watafurahi vipi kama ndugu zao wawapendao watakuwa jehanamu?

5.Baada ya gharika ya Nuhu, maji ya mafuriko yalielekea wapi??? Kwa sababu kila mahali palijaa maji.

6.Kwanini ulichelewa kumwumba mwanamke ilihali ulimuumba mwanaume na uhitaji wa mwanamke? Nadhani hapo ndo chanzo cha kujichua.

7.Mungu kwanini uliumba bangi? ni ya kazi gani? Mbona watu wako wanaipinga sana?

8.Mungu kama wewe ni mpangaji wa maisha yetu, kwanini tukusumbue kwa sala?

9.Mbona watu wema wanapatwa na mabaya? Si uliahidi mema ya nchi kwa watenda mema?

10.Kama watu wote ni uzao wa Adam na Eva, mbona tunatofautiana sana...nini chanzo cha kuwepo kwa watu weupe na weusi?

11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi?

12.Mungu una urafiki na shetani? mbona mnakutana mara kwa mara na kupiga stori( Ayubu 1:6-12)

14.Kwanini ulimtese Ayubu kwa lengo la kuridhisha matakwa shetani?

15.Mungu mbona ulimpa Musa amri ya usiue lakini ukampa maagizo ya kuua...Mungu hadi leo pale middle east wanauana.

16.Mungu kwa kuwa ulisema tupumzike siku ya 7, mbona watu wanatembea umbali mrefu kutafuata majumba ya ibada na wengine wanatumia hiyo siku ya 7 kupata pesa kwa njia ya sadaka? kwanini tusibaki nyumbani tupumzike?

17.Baada ya Kaini kumua Abeli ulimuuliza Kaini ndugu yako yupo wapi, hivi ni kweli hukujua alipokua Abeli?

18.Mungu kama unalounganisha hakuna awezae kulitenganisha, mbona ndoa zinavunjika?

19.Mungu hivi Suleiman ndiye aliyekuwa na hekima kuliko wote? mbona alifanya mambo kuntu sana? Wanawake 1000 siyo mchezo...au polygamism ndio hekima yenyewe?

20.Mungu kwanini ulimpa Hitler roho mabaya kiasi kile? yaani alichokifanya humu duniani we acha tu.
Majibu ya maswali 1,4 na 7 ni kama ifuatavyo

1:Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hamna kiumbe chochote duniani kinachofanana nae

4:Mungu atawapatia kama zawadi wale wacha Mungu haswaa au wale ambao wamehifadhi juzuu 30 kichwan kuchagua watu 70 kuingia nao peponi

7:Faida za bangi ni kama ifuatavyo

a :Bangi ina kemikali inayoitwa tetrahydrocannabiol ambayo inaweza kuzuia kifafa

b:Bangi inapunguza presha ya jicho(intraocular pressure)

c:Bangi inakemikali inayoitwa Cannabidiol ambayo inapunguza kuenea kwa kansa mwilini

d:Huweza kutibu magonjwa ya utumbo(inflammatory bowel diseases)

e:Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli kitaalamu inaitwa parkinsonism

f:Huongeza uwezo wa kubuni vitu,uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza

g:Huongeza matumizi ya sukari mwilini
 
[QUOTE uid=292576 name="CHAMITON" post=17105195]
11.Mungu mbona kwenye maandiko yako umechochea sana utumwa(slavery)? kwani tukiishi kwa usawa haikupendezi[/QUOTE]
hili swali lako limenigusa mno.. ukifikiria kwa umakini utajua kwanini wazungu walileta dini ya kikristo.. dini ya kikristo inafundisha kuwa na huruma, kuwa wanyenyekevu, kuwa watu wa kutokuhoji vitu.. wakati wa ukoloni mababu zetu walikua watata sana yaani hawatii mamlaka ya mkoloni, ndo maana wakoloni wakaintroduce huu ukristo kwa waafrika ili wawe na roho ya huruma, wawe wanyenyekevu, yaani kwa kizungu unaweza kusema walitujenga tuwe SUBMISSIVE.

Kwa maana hiyo basi chochote mwafrika alichokua anatendewa na mzungu, mafundisho ya biblia kutoka kwa wamisionari yaliwaelekeza kuwa watu wa kukubali yanayotokea, NDO ULE MSTARI WA BIBLIA UNAOSEMA AKUPIGAE SHAVU LA KUSHOTO, MGEUZIE PIA NA LA KULIA. Kwamba mwisho wa dunia huyo mkoloni ataenda kuchomwa moto.

Kwa maana hiyo basi, neno la Biblia lilikua faraja sana kwa watumwa kwa kuwa neno liliwaambia, hao wakoloni wanaowatesa wana hukumu yao ambayo ni moto wa jehanam.. UNAONA MZUNGU ALIVYO MJANJA?

Sasa tujiulize swali moja, wote tunajua kwamba mzungu ni mbaguzi, anatuita waafrika masokwe, hapohapo anatuletea biblia tuisome tumwabudu Yesu mwisho wa siku twende tukaishi mbinguni.. hvi hawa jamaa kama huku duniani wanatubagua hivi na kutudhihaki, TUNAAMINI KABISA WAMETULETEA YESU ILI TUOKOKE MWISHO WA SIKU TUKAISHI NAO MBINGUNI??? YANI MZUNGU AMBAE MBAGUZI AISHI NA MWAFRIKA YAAN SOKWE, AISHI NAE MBINGUNI?

TAFAKARI.
 
Back
Top Bottom