MJUMBE HAUWAWI! NAFIKISHA TU MESEJINILIYOIKUTA KWENYE BLOG MOJA:Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania :Leo si siku ya 12 tangu promotion yashinda mamilioni ya jaymillionsilipoanzishwa na Vodacom Tanzania lakiniimekuwa ikilalamikiwa na watu wengikwenye mitandao ya kijamii na na mitaanikuwa "vigezo na masharti kuzingatia"inatumika kuwahadaa wananchi. Haya nimaswali tungependa Vodacom watujibu
1. Mimi naweza leta comments 150 zafacebook na twitter zilizokuwa postedkuanzia tarehe 20-25 zikilalamikiasintofahamu ya jaymillions, je Vodacomwanaweza kuleta comments 10 tuzinazosifia?
2. Kwenye radio matangazo yenuyanasema hakuna kushiriki lakiniusipotuma msg ukakatwa shilingi 300 basihuna nafasi ya kushinda, je 300 ni ya ninikama si bet ya kamari husika?
3. Je kuna tangazo lolote la redio, TV auhata bango (billboard) linalosemamwananchi atakatwa shilingi 300 kwa kilamsg atakayotuma kuuliza kama kashinda?
4. Tangu shindano lianze, (ambalomlisema mtatoa milioni 100 kila siku,milioni 10 na milioni 1) leo ni siku ya 12ambayo kwa ahadi yenu ilibidi muwemmetoa bilioni moja milioni 400 lakinimpaka leo tarehe 26 mmetoa milioni 16tu, je ni hizi bilioni kadhaa anapewa nani?
5. Naskia vodacom ina wateja milioni 10,wateja laki moja tu ambao ni asilimia 1 tuya wanachama wakituma msg ni shilingi300'000'000 kwa siku sawa na shilingi3'600'000'000 na vodacom wametoamilioni 16 tu kurudisha kwenye jamiimpaka sasa, hamuoni kua mnaondoashilingi kwenye mzunguko na kuathiriuchumi?
6. Probability ya mshindi kutokea kwenyewatu laki moja na sio kwenye watu milioni9 na laki 9 ni sawa na kusema kila sikukuna nafasi moja ya pesa kuchukuliwa navodacom wana nafasi 99 za kubaki nahela, je ipo ipo siku itatokea mtu atashidamilioni 100?
7. Usiri wa kuwa mshindi atatajwa baadaya yeye kuwa katuma msg hamuoni kamainaweka mwanya wa wanaochezeshapromotion kupanga matokeo nakujifaidisha wao wenyewe?
8. Je si wakati muafaka kwa Vodacomkutangazia umma kuwa promotion yajaymillions ni kamari ambayo mshindiatachaguliwa miongoni mwa walioshiriki tukwa kutuma msg ili kuwapa wanashirikinafasi sawa ya kushinda?
9. Ni sahihi kusema jana Vodacomwalikata internet kwa masaa matanowakati mjadala wa kuhoji kizungumkuticha jaymillions umeshika kasi kwenyefacebook, twitter na jamii forums?
Naamini wahusika wa Vodacom maswalihaya yatawafikia, wanaweza wasijibu nahawatojibu ila kwa wanachokiona sasakwenye mitandao ya kijamii waelewe kuwawatanzania wamebadilika,hawapelekeshwi tena.