Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,475
Wakati nachukua first degree(still Niko na first degree) nilikiwa ninawaona watu wanaosoma masters kule Mdigrii,mara utawala wakiwa na mapamflet wako wanasoma au wamebeba wanapita. Mara nyingi ni wakati wa mitihani yao.
ukiangalia nyuso zao zinaonesha ni za watu wanaozima moto,pressure tupu.
Swali langu ni je,do they fill ile hali ya kwamba wao wana masters mioyoni mwao au ni just wanaona ni kama wako na elimu ya undergraduate? Yaani unajiona hapa ni just recognition tu. Kujifili umasters.
NB:Be subjective,usilete habari za Faizafoxy hapa kukagua tenses na kufanya personal attacks.
Sehemu nilizozitaja ni viunga vya UDSM