Masters ya Open University na ile ya Udsm ina utoufauti gani?

Kitendo Cha kujua tu umesoma open hawana muda wa kuhangaika ni kukatwa jina tu hamna kingine yaani ulingane na mtu aliyesoma full time na ww ambaye ulikuwa unajisomea tu mbona hamna ulinganifu kabisa
 
Elimu ya Open ni ngumu sana ni kuliko aliyekaririshwa vitini vya Lecturers UDSM, open unasoma na uhakikishe umeelewa ufanye mtihani halafu ufaulu, kuna watu wanasoma miaka 6 na bado hawamalizi ndugu acha kabisa, open pagumu bora convection asikudanganye mtu, na kama ni hivyo unavyodai isingelishika nafasi ya 16 duniani,ya 2 Africa kwa vyuo vya open na ya 6 kwa Tanzania kwa vyuo vyote vya open na convection ikikizidi hata St.John's, St.Joseph, Arusha, Uringa, teku nk.
 
Hakika umenena!!!

Huo Ni ushamba wako tu!!
 
"""""OUT inafaa ambao wanatafuta elimu kwenye field wanazofanyia kazi na wako busy na majukumu inakupa flexibility kubwa na kuwa competent zaidi.""""

Huu ndo msingi mkuu wa hoja yako!!
 
Sio kweli nimesoma BSc na jamaa mmoja ametoka fresh from school na alipiga vizuri na sasa ni Tutorial Assistant UDOM na aliwazidi hao wa vyuo vingine, acheni kukariri elimu ya OUT sio mchezo. Ni moja ya Ruputable University in Africa.
 
IMG_1360.jpg

Ondoa shaka OUT ni moja ya chuo bora sana, kiambatanisho kinaonyesha rank ndani ya Taifa, Africa na Duniani.
 
Kulinganisha Open na UDSM ni sawa na kujaribu kulinganisha mbingu na Dunia kitu ambacho hakiwezekani kukaribiana hata kidogo.
 
Out ndo chuo pekee chenye wanafunzi wengi na wenye uwezo kuliko hao waliodisco , na pia ni tofauti kulingana na nature ya delivery ya materials na ukimleta mwanafunzi wa udsm lazima adisco
 
Maneno ya kijiweni tu
 
Mkuu ingekua soka Udsm ni Real madrid wakati open university ni Ihefu fc...
 
Back
Top Bottom