bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 773
- 1,087
Habarini wanajamvi na heri krismass na mwaka mpya!
Naomba kujuzwa mtu mwenye masters ya open na yule aliepata masters yake pale Udsm wana utofauti gani watakapoingia kwenye soko la ajira!!
Mfano wote wameapply nafasi za assistant lecture chuo x. Na wote wanaufaulu sawa eg. First degree wote wana G.P.A ya 3.8 na masters wote waliscore 4.1 G.P.A?