BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,251
- 11,925
Nimecheka kwa SautiHapo Department of History, Masters ujiandae miaka 9 ndio utamaliza. Mijitu ina roho mbaya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa SautiHapo Department of History, Masters ujiandae miaka 9 ndio utamaliza. Mijitu ina roho mbaya ajabu
Watu wengi wanasema hivyo.UDSM wana-complicate maisha sana
Nakushkuru sana kwa kutumia muda wako kunishauri.UDSM wana-complicate maisha sana
Mzeebaba huyo cha mtoto Huyo Sumbai ana hasira PhD wamembania so ana hasira sana.Kuna mbotswana m1 alirudi bila masters yaan Jamaa hana Ujinga na Nasikia from Last ia alikua ahamishiwe archeology dept ila wambania sabb ya roho yake.
Hahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisaMzeebaba huyo cha mtoto Huyo Sumbai ana hasira PhD wamembania so ana hasira sana.Kuna mbotswana m1 alirudi bila masters yaan Jamaa hana Ujinga na Nasikia from Last ia alikua ahamishiwe archeology dept ila wambania sabb ya roho yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ulimdhania vibaya dr.kidoti mkuuHahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
We!! Naomba kujua kwani Masters nayo ina SUP Kama ilivyo Degree au hiyo September conference ni nini maana kwa Degree ndio wakati huwa SUP zote hufanyika thus a way waitaga September conferenceHahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu vipi kama mtu mwenye bachelor ya BAED(HISTORY/KISWAHILI) akitaka kusomea MASTERS OF EDUCATIONAL IN MANAGEMENT AND ADMINISTRATION. Hivi vipi nayo haina deal. Ila mie na G.P.A ya 3.8 Nipe ushauri hapo. Na kati ya hiyo digrii Hizi ipi poa Human resources management, Procurement and logistics management na Business Administration ipi poa???Inawezekana ndio, unaweza kufanya masters za tofauti na bachelor. Ila kama utaajiriwa kama mwalimu serikali, masters hawaivalue.
Recategorization ni pale ambapo serikali imekuajir kama mwalimu ila kwa kuwa una elimu pia ya kitu tofauti wanakuhamishia ktk kitengo kingine. Sana sana watu wa bachelor ndio wanufaikaj wakubwa wa hili ndio mana nikakushaur usome bachelor nyingine. Tatizo letu wengi tunapenda kusoma kwa kupanda juu ili tuonekane wasomi ila kuna watu wanamaliza bachelor ya ualimu na wanaenda kusoma bachelor ingine au hata diploma tu na hiyo diploma inamtoa vzr.
Masters za masomo soko lake la ajira ni dogo sana sana sana kwenye vyuo vikuu ndio maana nkakwambia kama huna GPA ya 3.8 usihangaike na master ya somo.
Achana na kufanya masters, hiyo hela pambana na maisha. Watu wengi huenda kufanya masters na high expectations watakapomaliza ila wakimaliza mambo hua tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani maswali yako unavyoyailiza nadhan hata hiyo bachelor haijakusaidiaNdugu vipi kama mtu mwenye bachelor ya BAED(HISTORY/KISWAHILI) akitaka kusomea MASTERS OF EDUCATIONAL IN MANAGEMENT AND ADMINISTRATION. Hivi vipi nayo haina deal. Ila mie na G.P.A ya 3.8 Nipe ushauri hapo. Na kati ya hiyo digrii Hizi ipi poa Human resources management, Procurement and logistics management na Business Administration ipi poa???
Sent using Jamii Forums mobile app
We!! Naomba kujua kwani Masters nayo ina SUP Kama ilivyo Degree au hiyo September conference ni nini maana kwa Degree ndio wakati huwa SUP zote hufanyika thus a way waitaga September conference
Sent using Jamii Forums mobile app
Kirefu cha BAED ni Bachelor of arts with education..... Na hii lazima usome masomo mawili ya kufundishia moja linakuwa major na lingine minor....Mimi nilimajor kisw na minor hist. Ila wanaosoma BED...bachelor OF EDUCATION WANASOMA SOMO MOJA TU LA KUFUNDISHIA NA HAWA MARA NYINGI WALIKUWA WANAPANGWA KUFUNDISHWA VYUO VYA DIPLOMA YA UALIMU( ILA ZAMANI) KWASASA WANALETWA MPAKA SEKONDARI. UMENISOMA HAPO??Yaani maswali yako unavyoyailiza nadhan hata hiyo bachelor haijakusaidia
Before anything ungesoma kwanza hata prospectus ya Udsm zipo online zote za undergraduate na postgraduate....maswali yako yote yanajibiwa humo!!!
Then, what is that you call bachelor of education yenye History na Kiswahili?? Is not that a bachelor of Arts with Education!!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kozi za safety? Una maanisha Health and occupation safety management? Kama ni ya namna hio basi hio kozi haitolewi independent kwa ngazi ya diploma au degree Bali inakuwa Kama embedded kozi kwenye baadhi ya kozi za degree za afya na engineering zinazohusisha field work.Pia naomba Msaada kwa mtu yeyote anayekijua Chuo kinachotoa Kozi za Safety, fire fighter anijulishe maana nine search nimeshindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ehh hii ni noma Sana Mimi nilidhani huko hakuna haya Mambo ya SUPMasters kuna supplementary kama undergraduate pia Ku disco kupo. Pia assignments zila alama hamsini na UE alama hamsini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo serikali hawaajir watu wenye masters tu labda kama ulishafanya bachelor ya kozi hiyo, vinginevyo labda wakuazime kwa muda idara husika kama wanauhitaj.Ndugu vipi kama mtu mwenye bachelor ya BAED(HISTORY/KISWAHILI) akitaka kusomea MASTERS OF EDUCATIONAL IN MANAGEMENT AND ADMINISTRATION. Hivi vipi nayo haina deal. Ila mie na G.P.A ya 3.8 Nipe ushauri hapo. Na kati ya hiyo digrii Hizi ipi poa Human resources management, Procurement and logistics management na Business Administration ipi poa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna pathways 2 1.Coursework n dissertation 2.Research and thesis.Ya kwanza kuna sup usipofikisha B=≥50 marks pia ukiweza kuwakwepa dissertation unao usipowapa hela nzur wakufanyie proofreading looh utarudia hata miaka 2 haad uende nao sawa.Kwa udsm hio ya #2 noooo usisome kama sio staff wao hutamaliza.Udsm hawasaidii wanafunz baaal wanakuongezea shiida ili wazitatue wao wenyewEhh hii ni noma Sana Mimi nilidhani huko hakuna haya Mambo ya SUP
Asante Sana kwa haya maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
masters ya hizo kitu ipo sua ila by research.Tatzo la sua hawako up to date hawareview prospectus yao annually.Ila ipoKozi za safety? Una maanisha Health and occupation safety management? Kama ni ya namna hio basi hio kozi haitolewi independent kwa ngazi ya diploma au degree Bali inakuwa Kama embedded kozi kwenye baadhi ya kozi za degree za afya na engineering zinazohusisha field work.
Short cut yake unaweza kwenda OSHA wao wanatoa short course zake na vyeti wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kuna sumbai na kireriHahahah dah huyu Sumbai sitamsahau kabisa kidogo anirudishe September conference huyu jamaa the way alivyo na masendozi yake hajijari kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app