Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 322
Ndugu zangu, nna mpango wa ku apply masters ya history hapo UDSM ila sasa kabla sijafanya maamuzi naomba niulize swali kwa walio wahi kusema masters ya history au masters nyingine yoyote.
-Wanasema masters ni ngumu sana. Ugumu wake uko wapi hasa ?
-Masters inasomwaje ? Inasomwa kama bachelor au kuna mambo mengi ya zaidi yanaongezeka ?(zaidi ya lectures & course work).
-Ili ni-qualify kusoma masters, napaswa kuwa na GPA ya ngapi ?
Natanguliza shukrani.