Masters of Biochemistry vs Masters of Microbiology

MEGAMIND2055

Senior Member
Jan 7, 2020
176
225
Hello guys naomba msaada wa kimawazo katika course hizi mbili interms of area of specialization, job opportunities, vyuo vinavyotoa hizi course na ada (tuition fees).
 

Google chrome

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,227
2,000
MUHAS wanatoa hizo kozi nadhani kwenye website yao watakua na fee structure. Ila ni Masters of science in Microbiology na Msc. Biochemistry. Msc micro itakupa nafasi ya kufanya tafiti zinazoendelea kwa sasa kama zinazohusu antimicrobial resistance. Kawaze pia kufanya Msc. Parasitology & medical entomology kuna tafiti nyingi za Negleted Tropical Diseases zinaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom