Masters inalipa Sana katika ajira kwa sasa?

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
891
237
Nitapanga hapa Na wewe utakuja Na list yako according Na vIgezo vyako.
1. Masters in project Management
2. Masters in Education Administration and Planning policy
3.Masters in Public Health
4.Masters in Logistic Management
5. MBA in Finance, Accounting,Procurement
 
Kuna mtu aliwahi kunishauri kusomea public health nikaona kanidharau... Sasa huwa naitamani. sasa hivi ningekuwa nafanya kazi kwenye NGO huku nakula dola za Mmarekani bila stress...
 
Kama unataka kusoma ili zikupe njia ya kuajiriwa basi zote hapo juu ukimaliza utahangaika nazo kweli, ila kama unataka ukimakiza uzitumie kujiajiri basi zote zitakusaidia kujiajiri kama sio mvivu.
 
Mimi nina ninataka kufanya Postgraduate ya Mathematics vp ajira nitapata??
 
Masters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
 
Kuna mtu aliwahi kunishauri kusomea public health nikaona kanidharau... Sasa huwa naitamani. sasa hivi ningekuwa nafanya kazi kwenye NGO huku nakula dola za Mmarekani bila stress...
yap mkuu hiyo public health iko vizur sana maana naona ina fursa nyingi kwenye NGOs kubwa so hiyo pia ipo kwenye plani yangu.imekaa vizur
 
Master ya public health kwa sisi tuliosoma masomo ya bussiness vip? Lazima tufanye post graduate? Je ipi? Chuo gani? Pia ipo Masters ya Public Health lakini ya Mwaka mmoja kwa wasiojua.
 
Last edited:
Masters ya education faida yake no moja tu daraja litaendelea kupanda mbali na hapo sidhani kama inalipa kulinganisha na hizo nyingine
I wish to see you one day,can it be possible,where do you live?,personally i live in lindi
 
Back
Top Bottom