Naombe ufafanuzi wa masters by Thesis UDSM

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Nataka kuchukua masters mwaka huu, ila sipo tayari kuacha kazi na kuhudhuria lectures kz hata jioni siwezi sipo Dar nipo Kigoma. Naomba kujua hii by thesis nikiomba cz kuna option hiyo, naomba kujua ugumu na urahisi wake. Na pia taratibu zake kabla sijasafiri chuoni directly,
Ahsanteni
 
Ktk mazingira yako hii, Master's by thesis, yakufaa coz mda mwingi unautumia ktk utafiti na mara chache itakulazimu usafiri ili kuonana na walimu wako. Sifa ya chini ya kuingilia ktk master's by thesis ni Upper Second Class Division with honors.
 
Asante mkuu, ila nimeona wote tumepewa by course work and desertation.Vipi naweza kuruhusiwa by thesis? Kz hiyo option ilikuwepo ila selection zimekuja by course work and desertation,
GPA yangu ilikuwa 3.4 undergraduate degree.
 
Nafikiri GPA ndo sababu coz ili udahiliwe Master's Degree by Thesis unatakiwa uwe na GPA ya 3.5 au zaidi ktk shahada ya awali. Hebu jaribu kuwasiliana nao uone km wanaweza kuibadilisha hiyo programme mode. Email zao ni hizi: dsgs@admin.udsm.ac.tz AU admission.dpgs@udsm.ac.tz
Nami naziona by Thesis na by Couse Work and Desertation ila sielewi zina maana gani, naomba kufahamishwa maana zake, umuhimu wake na ipi ni nzuri kat ya hizo tafadhali.
 
Master's by Thesis imejikita sana katika utafiti. Hii hainaga mambo ya course work. Lkn Master's by course work and dissertation hii inamhitaji mwanafunzi aingie darasani, afanye course work na UE kwa kila semester ktk semester tatu au miezi 12. Ukifaulu UE ndo unaendelea na hatua ya kufanya research na hatimaye unaandika dissertation kwa muda wa miezi 6.
 
Ina maana mtu mwenye Upper Second Class haruhusiwi kufanya Course Work & Disertation na kama ndiyo kwanini? Maana umesema By Thesis ni wale wa Division with Honors.
 
Mtu yeyote mwenye vigezo 2.7 au juu kutegemea na degree/chuo anaweza kufanya by course work, coursework and dissertation lakini 3.5 kwa udsm unakupa fursa ya kufanya by thesis (kama unataka).
 
Master's by Thesis imejikita sana katika utafiti. Hii hainaga mambo ya course work. Lkn Master's by course work and dissertation hii inamhitaji mwanafunzi aingie darasani, afanye course work na UE kwa kila semester ktk semester tatu au miezi 12. Ukifaulu UE ndo unaendelea na hatua ya kufanya research na hatimaye unaandika dissertation kwa muda wa miezi 6.
Masters by Coursework and Dissertation :Kwa sasa TCU inadai angalau 2 semesters of coursework, na research hutegemea na course/chuo-kuna kwa mfano SUA MPVM ni week 16 za research na course yote inaweza kukamilishwa ndani ya miezi 12 (intensive work), kuna wa miezi 6 research, na pia 12 months research kwa degree za miaka 2. MRPP (Research and Public Policy) Mzumbe na UDSM ni 3 semesters course work na one semester research.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri.

Kwa mwenye 3.5 unamshauri achukue By Thesis au By Course Work(yaani ipi ni nzuri kisoko na kiajira kwa mwenye 3.5?
 
Binafsi kama muda unaruhusu, program zetu nyingi za undergraduate haziendi ndani sana, wengine hata research ndogo wanakuwa hawajafanya. Kama ni hivyo ni afadhali uchukue Masters by coursework na research. Kama uko kwenye research institution na una idea ya research then by thesis inaweza ikawa poa. Kuna wakati sponsor anataka mtu wa kumfanyia research hapo unaweza kufanya by research kukidhi matakwa ya sponsor. Wanataka mwenye GPA kubwa =>3.5 wakiamini unaweza kujituma na kujifunza mengi wewe mwenyewe lakini course work ya research methodology/methods na Statistics/Data Analysis husaidia sana.
Kiajira sidhani kama zinapishana, kisoko (mshahara) ni vigumu kusema.
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom