Masters application udsm

Techguy

Member
Jul 15, 2018
57
40
Habarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related kwa udsm unaweza nicheki inbox pia.
 
Only kuhusu computer???
 
Only kuhusu computer???

Unaweza niuliza swali linalohusiana na application za masters kwa ujumla masters ya udsm in general. ... kama unataka details zaidi basi swali liwe kuhusu courses ambazo ni computer related kwa sababu niko college ya CoICT
 
Habarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related kwa udsm unaweza nicheki inbox pia.
Je ni kweli kusoma master's UDSM ni lazima use GPA ya kuanzia 3.6 & above?
 
Si kweli, unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 2.7 kama utasoma kwa mfumo wa coursework and dissertation( utaingia class , utafanya assignments, UE na mwisho research ).

Kama utafanya kwa thesis unatakiwa kuwa na G.P.A kuanzia 3.5, mfumo huu hautoingia class kufundishwa, hautofanya assignments wala UE... utafanya research tu.
 
Tofauti kati ya hiyo mifumo miwili ni ipi? Je ni upi una soko au ni upi una future nzuri kwa mhitimu?
 
Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
Siingii class nafany tu research af nalipa ada ile ile or ?
Ntakua naibiwa apo
 
Ada yako itakua chini kidogo ukilinganisha na wale wanaoingia class, kwa mfano Master of science in Computer science, ya coursework ada yake ni 6.4 Million lakini kwa thesis kwenye hiyo course ni 4 million.
 
Pia tuition fee unalipa kwa awamu kama nne hivi, kwa ada ya 6.4, semester ya kwanza unalipa kama 1.8Mil hivi, second semester hivyo hivyo, mpaka utakapomaliza.... but kama uko vizuri unalipa zaidi ya hapo.
 
Tofauti kati ya hiyo mifumo miwili ni ipi? Je ni upi una soko au ni upi una future nzuri kwa mhitimu?

Tofauti ya thesis na huo mfumo wa coursework ni kwamba thesis unamfanya mwanafunzi aelewe field yake of study kwa undani zaidi mpaka kufikia pale atakapomaliza hivyo atakua vizuri zaidi katika hilo eneo.

But kwa coursework unaanza kusoma vitu in general kwanza kwa semester mbili then utafanya research kwa area ambayo utaichagua, research yako haitokua deep kama ya yule wa thesis.
 
Habarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related kwa udsm unaweza nicheki inbox pia.
Je mtu anaweza kusoma masters tofauti na degree take ya kwanza
 
Naomba kufahamu selection zinatoka lini nimefabya application tangu march bado sijajibiwa....nimeapply for project planning and management kozi inatarajiwa kuanza october mpaka sasa sina mrejesho wowote
Habarini, kwa mtu yoyote mwenye kupata shida au swali kwenye application za Masters udsm unaweza kuniuliza swali nikakusaidia, au kama unahitaji maelezo kuhusu courses ambazo ni computer related kwa udsm unaweza nicheki inbox pia.
 
Naomba kufahamu selection zinatoka lini nimefabya application tangu march bado sijajibiwa....nimeapply for project planning and management kozi inatarajiwa kuanza october mpaka sasa sina mrejesho wowote

Nimekupatia namba inbox naomba nicheki nikuelekeze
 
Back
Top Bottom