Masterbration inanitesa sana

Effect za nyeto sio za muda mfupi madhara yake yanakuwa baadae sana na ndo maana baadhi ya watu hupiga bila kuona shida unaweza fanya nyeto then ukaenda fanya sex ukajiona uko perfect sana ila nakuambia ukwel utaujua baadae
Inaanza na mindset yako sex is all in the mind..mwache anyetukee
 
Nilishauza smartphone miez mitatu sikufanya iyo kitu naliishi vizuri tu ila nilivyonunua tu tatzo likarud kwa kasi.
 
Vijana wengi wanapitia hatua hii. Mimi kilichoniokoa ni kuwa busy na shughuli - masomo na kazi. Get something to keep you extra busy.
niliota ndoto nafanya mapenzi ucku sasa nkijachafua hamu nikiwa nayo bado ndo nikajichua mpaka leo bro
 
Mambo mengine bwana,sasa wewe unataka uache ili iwe nini..!? Hata uzoefu bado haujaupata sawa sawa.Atleast baada ya miaka kumi may be ndio unanze kufikiria kuacha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…