Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Huyu either ni mchawi, au ana matatizo ya akili, au vyote pamoja.
Anakula vipi?
Jamani bangi siyo mchicha
Autorun,Angekuwa mzungu mngempongeza
Kwa kujaribu kuweka rekodi mpya ya guiness
Mwafrika .......ooohhh ni mchawi au hana akili.