Master Kubwa Dodoma Mjini Inapangishwaa...

Master Kubwa Dodoma Mjini Inapangishwaa...

Mkuu Food scienntist acha uongo kabiisa Makole hakuna chumba chenye hadhi ya shi 130,000/
nyumba nyingi hapo ni tope tupu na wamekarabati juzi tu hakuna miaka mitano tena viguest vichache kwa ajili ya kubandua vitoto vya CBE,
Huyo mzee kwanini umemjengea? kwanza hatakubali umpangishe mtu mwingine
pili hatakubali ubandue chochote
ni bora ungeenda Kisasa Area C, Area D au Ipagala kupanga nyumba nusu kwa 150,000/
Makole ni fujo tu za vijana na vimwana lakii usalama na Afya hakuna kabisa
Pole kuna nyumba nzima self (Master 1) vyumba vi3 car park gate nk hapa nyuma ya uwanja wa ndege sh 200,000/ kwa mwezi
Mkuu haipo makole, ila niliitaja Rainbow kwakua panajulikana.

Ipo Upande wa pili wa barabara panaitwa Medeli Estate, nyumba iko barabaran na unaiona ukiwa njiani.

Ila una angaliana na Rainbow.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile bonde mvua ikinyesha navukaje kuja barabarani? Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pale Medeli zamani palikua (changanyikeni) squatter settlement hivyo barabara hakuna, juzijuzi ndipo CDA wakaja jaribu pitisha viwanja na barabara ambazo bado zinagoma, waliweka Soko Kuu la Mji mara Barracks ya POLISI vyote wamehamisha, kwa hiyomvua kama hizi huwezi pita bila kukanyaga tope hata ukikipata kimwana lazima viattu mvulie nje mbali kwa hiyo Kodi ya 130,000/ bado sana, mm karibu na kasoko niliuza nyumba kwa kukosa wapangaji na aliyenunua hadi leo naye hapataki tena, naona wenyeji, lkn Karibuni Dodoma
 
Pale napafaham. Yes ni jiran na barabara ila pamekaa kushoto. Mvua kikinyesha pale ni usumbufu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom