Napangisha nyumba Dodoma mjini

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
1,797
2,000
Napangisha nyumba Dodoma Mjini (area E ) ina vyumba vinne kimoja master, jiko, sebule na public toilet ipo ndani ya fensi bei laki nne Kwa mwezi kodi yangu miezi 12 au 10.
Madalali mnakaribishwa pia.
Mimi ndiye mwenye nyumba, Kwa maelezo zaidi ni pm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom