Master Jay wa BSS unaboa

hainaga mvuto ndiyo maana ha
ta sponsors wanaikimbia...imebaki jina tu...show ya kifake sana dunia nzima...Master Jay kwanza kashazeeka hata misingi ya music hanaga tena...kabakia kubwabwaja tu kama Dudubaya
Linaboa sana na washiriki wakipata koment kutoka kwake wanakua wanaona kama yy ndo kila kitu kisa alishawahi kuwa prodyuza
 
Huyu Jamaa huwa namkubali sana!
2017 BET Awards ktk Hall of Fame alimwelezea Tupac namna alivokuwa mchizi wake, daaah! Nilimkubali sana! Jamaa alimchambua Pac mpk akatoa chozi! It was so touching.

Hahaha, kuna interview sikumbuki ni kwa Ebro au wapi jamaa alikuwa anaelezea jinsi Pac alivyo mpa sapoti wakati jamaa amepata demu na anataka kuoa, washkaji wote wakamkatalia, halafu PAC ambaye ndo alikuwa mkuu wa kigenge akamwambia hilo ni bonge la wazo.

Alioa na mpaka leo wako wote.
 
Kwa kweli sijui waliofata baada ya peter msechu. Namuonaga sijui walter chilambo hyo sikuangaliaga wanasema ndo alishinda sijui mwaka gani. Wengine sijui

Ndo hapo sasa, mashindano zaidi ya miaka 10 hayajatoa mtu kwenye industry, wanaishia kuganga ganga then wanapotea.
 
Hao washindi wa BSS za nyuma wako wapi?
Hii kitu sion faida yake nadhani wananufaika wachache
Shida ni shindano ambalo majaji hawaangalii kipaji cha mtu zaidi wao wanachanganya na mapenzi yao binafsi kwa mtu mifano ni mingi mfano yule kayumba hakua mkali kuzidi walikuwepo nyuma yake lakini alishinda kwa sbb ya Madam Rita kuona huruma
 
Kuna watu mnajiuliza washundi wa bss wa zamani wako wapi hivi hamuwasikii kina dear God...Walter chilambo na kayumba!!!?
 
Linaboa sana na washiriki wakipata koment kutoka kwake wanakua wanaona kama yy ndo kila kitu kisa alishawahi kuwa prodyuza
Katika maproduza wa zamani huyu alikuwa mweupe sana,biti zake nyingi zilikuwa za kawaida sana,Marco chali katengeneza hits nyingi kuliko bosi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom