Mastaa wengi wana ngoma - dude

Mastaa wengi wana ngoma - dude

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
attachment.php

Staa wa Filamu za Kibongo,
Kulwa Kikumba ‘Dude’.


Na Hamida Hassan

Staa wa Filamu za Kibongo,

Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana ngoma na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.

Akizungumza na Ijumaa, Dude alisema kuwa mastaa wazima ni wa kuhesabika na kutaja sababu kubwa kuwa ni kubadilishana na kuibiana wapenzi bila kuwa na woga .


“Utakuta Mbongo Fleva ana mtu kwenye Bongo Muvi na Mbongo Muvi ana mtu kwenye dansi au kwa mamis au hata wacheza mpira, ukitaka kuujua ukweli tangaza dau kuwapima mastaa uone watakaojitokeza,” alisema Dude.


Aidha, Dude alisema anavyoona yeye ingeanzishwa kampeni ya mastaa wa Bongo kupima Ukimwi kwani anawahofia watoto wa kizazi kipya zaidi ambao wanajikuta wanaingia pabaya na kuzima ndoto zao.chanzo.GBP
 

Attachments

  • Dude.jpg
    Dude.jpg
    51.9 KB · Views: 1,026
Kupima ni jambo la hiyari aise...kuwaanzishia kampeni sidhani kama itasaidia kubadilisha tabia zao.
 
Kwa njia wanazopita kupima yataka moyo mkubwa na mpana..sio jambo rahisi kwao. Wananyoosheana vidole tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom