Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

Wote hao washawahi kusemwa ni kuku watamu(mchelemchele)...kuna kitu umekimaanisha najua...
 
Hawa ni Mastaa wa bongo wasio na skendo chafu yeyote

1.Hemed PhD
View attachment 407342

2.Vicent kigosi
View attachment 407343

3.Tino (bongo movie)
View attachment 407344

4.Daxx Cruz (Model)
View attachment 407345

5.Ommy Dimpoz (music)
View attachment 407347

6.Benny Kinyaiya
View attachment 407348

7.Prience fey (team wema)
View attachment 407346

Kama unabisha njoo hapa!! Ukabushe!!
Ukakasi,, mleta mada utakuwa na sababu zako,, hapo mwanaume labda ni mmoja tu..
 
Hanaga skendo wala nini...

SHILOLE.jpg



Na huo mto aliouvaa kunako makalio?
 
Bibie Ben Kinyaiya ananiachaga hoi kweli. Pozi zake tu, utajuwa huyu ni mshikishwa ukuta na mwenzie Bi Ommy Dimples. Kweli mleta mada wewe ni Ze Comedy wa uhakika.
 
Ray ana kashfa ya kujichubua. Mwaka 2012 hemed alipost picha akiwa kapakatwa na dume na kuandika maneno ya kwamba yeye ni kuku mtamu.Dimpoz nae ana kashifa ya kuomba pumzi ya diamond ipulize kisogo chake so ungefikiria vizuri halafu wengine sio mastar hata umewaweka tu kwa vile unawaonaga sana wewe.

Kulinda heshima yako rudia list upya
 
Back
Top Bottom