Mastaa 7 Bongo wasio na skendo

Inawezekana wew ni basha mana umewakusanya watoto wa mama ote kwa pamoja eti hawana skendo hahaahaha. Hahahahahaaha hahaahahaha eti hawana skendo hahahahahaha washika ukuta hahahahahaaaha hahaahaaha
 
Mleta mada ulitaka tucheke au? Unajuwa maana ya skendo (scandal) ni nini? Kama unajuwa kwanini umeweka hao vichaa hapo juu? Unafaham Ray ni mnywa maji mzuri tu, tena kwa siku anakunywa pipa zima ndiyo maana mweupe. Hemed Phd sisemi mengi juu yake. Ben Kinyaiya na shoga yake Ommy ni wapishi wa kisamvu, usidanganyike kuonyeshwa watoto kwani mjini hapa gia ziko nyingi tu. Kingine, umesahau Lulu na Wema....hawa nao hawanaga skendo.
 
Dax Cruz ndo nani? Prince fey ndo nan? Siku nyingine ukitaja mastaa wawe mastaa kweli na sio unaowajua wewe tu.
Dax ,n tz model anaishi south ameanzisha hata brand ya Sox za dax!!
 
Inawezekana wew ni basha mana umewakusanya watoto wa mama ote kwa pamoja eti hawana skendo hahaahaha. Hahahahahaaha hahaahahaha eti hawana skendo hahahahahaha washika ukuta hahahahahaaaha hahaahaaha
Mkuu taratibu!! Mi siongeagi bila data labda wewe hayo maneno yako unaweza kuyathibitsha au hisia zako zinakutuma
 
Mleta mada ulitaka tucheke au? Unajuwa maana ya skendo (scandal) ni nini? Kama unajuwa kwanini umeweka hao vichaa hapo juu? Unafaham Ray ni mnywa maji mzuri tu, tena kwa siku anakunywa pipa zima ndiyo maana mweupe. Hemed Phd sisemi mengi juu yake. Ben Kinyaiya na shoga yake Ommy ni wapishi wa kisamvu, usidanganyike kuonyeshwa watoto kwani mjini hapa gia ziko nyingi tu. Kingine, umesahau Lulu na Wema....hawa nao hawanaga skendo.
Ha ha ha
 
Huoni Dimpoz..Ray....Ben... na Princes wamevaa hereni....!!? Hiyo sio scandal....!!?

Ebu mtafute Mwana harakati (activist) KALAPINA....Akutolee ufafanuzi....
 
Mwanaume kupiga picha kama hii tayari ni skendo
1474915408948-jpg.407346
 
Back
Top Bottom