Massey Ferguson 595..........njoo zichukue

The Boss ..........trekta moja lipo Ruvu ..darajania likipiga na kazi na jingine lipo Iringa likisubri msimu wa mazao ya misitu kupiga kazi huko
 
There is nothing like a free lunch mate!
Huyu MJ anastahili kuungwa mkono kwani bei zake ni reasonable kabisa (kama zinafanya kazi bila matatizo).

Zote ziko kazini.moja inalima na nyingine inasomba magogo!

Naziuza ili ninunue kubwa moja ya hp 165
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…