INAUZWA Pikipiki inauzwa bei nafuu sio ya kukosa mwambie na mwingine

Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,046
2,131
Hii PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE

Wakuu ni matumaini yangu wote humu mko poa, kijana wenu baada ya salam nmekuja kwenu kuwapaa fursa ya pikipiki ninaiuza ni tvs150 ya blue ni gia 4 sio 5 ni zile za mwanzo mwanzo ni imara sana na bado iko na hali nzuri kama inavoonekana hapo kweny picha inapiga stata jino moja tu imewaka ni namba Mc 679 CBB ni mali yangu mwenyewe haina tatizo bali mimi ndo nina shida ya hera maana kimfaaacho mtu chake niliinunua kwa mtu nae alikuwa na shida nmetumia kwa mda wa kama mwaka mmoja baada ya kuinunua

Bei yake ni laki 9 na nusu ila ukiwa serious maongezi yapo, alieniuzia alikuwa anatumia kuendea tu kazini na kurudi ila baada mimi kuinunua niliifanya bodaboda, Docoment zake zote zipo kwa maana ya Kadi ya pikipiki mimi sio mara ya kwanza kufanya biashara hapa mtandaoni hasa hapa jf ninaishi dar kwangu mitaa ya Kinyerezi Kifuru unaweza kuja hata ukapaona kwangu napokaa na familia yangu pia nishauza vitu kibao tu na wala sina longolongo wala siuzagi vitu vyenye matatizo ni vyangu mwenyewe

nishawahi uza hapahapa jf na vyote nilipata wateja, kwaiyo niwaondoe shaka, Unaweza usihitji wewe lakini ukawa ndugu jamaa nna maafiki hata jirani yako pia. Asanteni na karibuni sana wahi usichelewe Kwa mawasiliano nichek call, sms na WhatsApp 0756695846 na 0712776823.
IMG_20221217_125231_902.jpg
IMG_20221217_123303_989.jpg
IMG_20221217_123240_034.jpg
 
Wakuu ni matumaini yangu wote humu mko poa, kijana wenu baada ya salam nmekuja kwenu kuwapaa fursa ya pikipiki ninaiuza ni tvs150 ya blue ni gia 4 sio 5 ni zile za mwanzo ...
PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE
 
Dah nilikua na shida na pikipiki used mpaka nikala pesa na aina ya pikipiki niliokua natafuta ni kama hii
 
Dah nilikua na shida na pikipiki used mpaka nikala pesa na aina ya pikipiki niliokua natafuta ni kama hii
Pole mkuu pikipiki zipo uko mkoa gani na unataka pikipiki gani
 
Back
Top Bottom