Massey Ferguson 595..........njoo zichukue

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,831
1,296
389615_416735741675691_100000178064990_1866482_881356809_n.jpg

1991-94 Model, 90hp. 2WD...zote ziko katika hali nzuri zote zinafanya kazi

Bei 18ml............bila accessory yoyote.........Maongezi yapo na commission pia ipo


View attachment 50454

Karibuni
 
The Boss ..........trekta moja lipo Ruvu ..darajania likipiga na kazi na jingine lipo Iringa likisubri msimu wa mazao ya misitu kupiga kazi huko
 
There is nothing like a free lunch mate!
Huyu MJ anastahili kuungwa mkono kwani bei zake ni reasonable kabisa (kama zinafanya kazi bila matatizo).

Zote ziko kazini.moja inalima na nyingine inasomba magogo!

Naziuza ili ninunue kubwa moja ya hp 165
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom