ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,906
- 42,079
Sikuoni mbona[emoji31] [emoji31]dah! ugumu wa sasa ndio raha ya baadae usijali utakula vitam mpk usahau shida!
Sikuoni mbona[emoji31] [emoji31]dah! ugumu wa sasa ndio raha ya baadae usijali utakula vitam mpk usahau shida!
ha ha! huenda nimekuwa mweusi sana! ngoja ninywe maji mengi soon utanionaSikuoni mbona[emoji31] [emoji31]
do we utakua mzeee wa manyokaNataka nianze na Cobra na koboko sababu mtaji wangu mdogo, utakuwa mteja wangu au vipi?
View attachment 452900Yooote tumeiga ila hii wabongo wameiacha ipite.
Anatafuta mchumba kwa masharti kuwa na hayo nyoka ni sehemu ya familia!View attachment 452900Yooote tumeiga ila hii wabongo wameiacha ipite.
Wameona mambo ya blow job tu[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] hawakuiona
Siwezi hata waniwekee bilioni
Huduma hii murua haswa ukizingatia joka litakuwa likirandaranda mwili mzima ilimradi akupe huduma sawa na pesa yako.Thubutuuu!
Hapana kwakweli.Huduma hii murua haswa ukizingatia joka litakuwa likirandaranda mwili mzima ilimradi akupe huduma sawa na pesa yako.
Teh teh teh hapo itakuwa maana nzima burudani imeondoka.Baada ya kupatiwa huduma lazma wanikimbize kindumbwe ndumbwe chaliaaaaaa
Burudani nzuri zote wameshazimaliza sasa wanatafuta balaa.Mbona wanamjaribu mtoa roho ✡️✡️✡️
Hujafanya research ya kutosha mkuu, umemsahau yule aliyekufa baada ya nyoka wake kuuwawa?View attachment 452900Yooote tumeiga ila hii wabongo wameiacha ipite.
Napenda sana iyo makitu, wakianzisha Tz waanze na Pit Viper, King Cobra, Baboon Viper, Black Mamba, na White Belly viper, I will be there first customer in Mkulu Voice.View attachment 452900Yooote tumeiga ila hii wabongo wameiacha ipite.