Massage yenye raha zaidi hii hapa

Massage yenye raha zaidi hii hapa

Jamani ni vitu gani hivyo! hivi humu duniani tunatofautiana kiasi hicho? au ni shoppicha
 
tembom.jpg


Inasemekana eti hii ndio massage hatari zaidi inayofanywa na tembo kwa watalii baadhi ya nchi za wenzetu...yataka moyo sana kwa anayefanyiwa hii kitu...!!MAJUU KWELI HAMNAZO
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] hata kama nalipwa mie sifanyi. Naogopa nyoka kuliko hata simba.
 
Back
Top Bottom