Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,249
Nadhani hii ni fursa itabidi nizame Saadan nitafute majoka kisha nikafungue sehemu ya massage pale Kariakoo, sijui wateja watakujahawakuiona
Kabisa kabisa, wanasema hii hata kama chumba kina joto lakini utapokea baridi ya asili toka kwa majoka huku wakikuburudisha kwa kukukanda mwili mzima.Duuuuh isije kuwa kama ya kijana wa songea
we kazwala wewwKabisa kabisa, wanasema hii hata kama chumba kina joto lakini utapokea baridi ya asili toka kwa majoka huku wakikuburudisha kwa kukukanda mwili mzima.
Nataka nianze na Cobra na koboko sababu mtaji wangu mdogo, utakuwa mteja wangu au vipi?we kazwala weww
kila mtu na ahadi yake, usikate tamaa.Hapo mi mgeni kama wa songea angekuwepo angetupa uzoef kidog
Hii huku kwetu imekosa wawekezajiAisee kali. ..
Bila shaka watajaribu na hii.Mmh, wapenda raha mpoooo