Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Anzia pale muslim Kinondoni sec school, then mbele kidogo BM saloon, Morrocco pale next to Zain, shuka drive inn opposite o/bay police kuna Magic touch ya Wahabeshi.
Fuata barabara ya old bagamoyo rd mwai kibaki humo mote utaona vibao vya matangazo ya massage.
Fika njia panda Kawe ile round about elekea njia ya beach, utaona massage mbele ya daraja, na mwisho ni kwenye hotel ya girraffe, hapa utawakuta wachina. hawa ni full proffessionals wakitumia chinese technics za shiantu "touch of life", wao wana mpaka sauna unaoga kwenye jaccuzi, bei yao ni laki/hour.
Anzia pale muslim
Kinondoni sec school, then mbele kidogo BM saloon, Morrocco pale next to
Zain, shuka drive inn opposite o/bay police kuna Magic touch ya
Wahabeshi.
Fuata barabara ya old bagamoyo rd mwai kibaki humo mote utaona vibao vya
matangazo ya massage.
Fika njia panda Kawe ile round about elekea njia ya beach, utaona
massage mbele ya daraja, na mwisho ni kwenye hotel ya girraffe, hapa
utawakuta wachina. hawa ni full proffessionals wakitumia chinese
technics za shiantu "touch of life", wao wana mpaka sauna unaoga kwenye
jaccuzi, bei yao ni laki/hour.
Hello JF members! Mimi ni
mgeni hapa DAR nimetoka Arusha. Nataka kufanya massage naomba mnielekeze
ni sehemu gani hizo saloon zinapatikana maana nimeskia tu kwa ujumla
sinza na kinondoni. I reaaly need this, plz help
huna mke/gf???? mpaka masage ufanyiwe na wengine? nunua olver oil kaoge maji ya moto ufanyiwe home.
jaman olver oil nzuri sijawahi ona mm najifanyia mwenyewe ngozi laiiiiiiiiiiiini kama nn!
huna mke/gf???? mpaka masage ufanyiwe na wengine? nunua olver oil kaoge maji ya moto ufanyiwe home.
jaman olver oil nzuri sijawahi ona mm najifanyia mwenyewe ngozi laiiiiiiiiiiiini kama nn!
najua unachotaka si mbaya ila najaribu kukuepushia matamanio ya baadae. wale watu duh.
Kwani wapoje?
****---*************----
mi sina lucky njoo unisaidie pls.
massage yako wewe inapatkana wapikwa masharti njoo kwangu.
acha tuuuu labda kama una roho ya chuma.
umefkia eneo ganiM ni mgeni pia natokea kuzimu nataka kujua wapi ntapata danguro kwa hapa dsm
Corner barumefkia eneo gani
dah sasa hapo si ndo kila kitu....we ulizia kwa wahudumu hao wakupe watotoCorner bar
toka kitamboDunia ina mengi