Massage Saloon (Massage Parlour)

siku hizi zipo nyingi sana...juzi tu jamaa yangu kaniambia amepata huduma hiyo ya extra kwa tsh 30,000/= naona huu utandawazi tuna utumia vibaya.
 
Well nimekuja kugundua kumbe massage ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Nimejaribi na kugundua ni nja nzuri sana ya ku release tensions ingawa ina addiction fulani hivi. It worths........try it my friends.
 
hata pale upanga opposite na geti la MUCHS unaweza kupata,kituo cha samaki msasani baada ya namanga kuna ile BEAUTY POINT,mikocheni kama unaingia AAR hospital mtaa wa mbele ukimaliza shule ya awali kushoto kuna barabara inaingia kuna kibao kinaelekeza. jaribu kote huko kumetulia nawe pia utatulia tu.!!
 
siku hizi zipo nyingi sana...juzi tu jamaa yangu kaniambia amepata huduma hiyo ya extra kwa tsh 30,000/= naona huu utandawazi tuna utumia vibaya.
mkuu mbona sioni link ya utandawazi?
 
Wakuu bado sijaziona za watoto wakigeni ni zipi hasa kwa ile kitu extra hata kwa montly salary nitajikamua.Au ndo zipo kwenye hizo hapo juu?
 
Aise safi sdana; una namba za simu za sehemu hizo????
 
In all the reading that I have done[which is not much,I confess]sijaona mtu yeyote anaelezea faida ya massage.
Halafu juzi,nilkuwa naona ITV,katika Television,linatolewa darasa la wanawake kusuka nywele,na kutumia vipodozi ili ''waweze kufanya mambo hayo kwa usalama,bila kudhuru afya zao''. The only good thing I can say about women having long hair,ni kwamba itaweza kuwalinda from the hot sun.
 
Kumbe hii biashara inalipa sana! kuna mtu hapa DAR nimeona kaamua kuitoa nyumba yake ya 5 Rooms na kuifanya Massage Parlour. Na anasema kwa sasa ana uhakika wa mshiko kama 200,000/- kila siku na kodi halipi. Hapo Imekaaje?
 
Siku akitaka kurudisha kuwa nyumba ya kawaida awaite viongozi wa dini waiombee maana itakua imegubikwa na pepo la ngono
 
Siku akitaka kurudisha kuwa nyumba ya kawaida awaite viongozi wa dini waiombee maana itakua imegubikwa na pepo la ngono

Naona baada ya hapo ataifanya kuwa Guest House kwanza....lol
 
Training ipi zaidi unahitaji mkuu, what is a training so far? Does it need somebody to go to class with a pen na daftari na kupewa cheti ama? Kuna training ya vitendo wanapatiwa hawa watu!

Hata hizo massage za Ulaya still unaweza mtongoza mhusika mka-DO tuu, it is all about makubaliano, as long as mko wawili chumbani, ni kumshwawishi na kumjengea mazingira tu!
 
I wish you could have tested that service( Massage) You could answer youself if they are trained or not. I am telling you they are doing it proffessionally. Just test it one day and you will realize the truth in It. That is my routine once every week. It releases tensions a lot.
 
U said it kaka!
 
Massage parlour nzuri ni nyumbani kwako tu na shemeji (Utapata full package) ....wengine wote wezi tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…