Massage parlour ni vituo vya ngono

Massage parlour ni vituo vya ngono

Utakuwa umenielewa vibaya Mkuu

Sipingi na wala sioni ni kitu kibaya kukandwa kandwa ,Mimi binafsi ziwezi kwenda hizo sehemu, Mke wangu atanifanya hivo ,,

Maisha ni mtu apendavo

Watu wengine wa ajabu mno.... mke unae nyumbani.... utakie nini kwenda kukandwa nje! AahUshamba tu
 
Mkuu hata television tunazo nyumbani ila mpira tunaangalizia bar
Watu wengine wa ajabu mno.... mke unae nyumbani.... utakie nini kwenda kukandwa nje! AahUshamba tu

"Typed with my thumbs."
 
Mkuu hata television tunazo nyumbani ila mpira tunaangalizia bar

"Typed with my thumbs."

Mke na tv ni vitu viwili tofauti kamanda wangu, binafsi mke ananipa raha zaidi iwe nyumbani na hata out tunapokuwa pamoja 😀
 
Kuna dada niliwahi kukagegeda, single mother....
Katoto kanaenda katerero sio mchezo, ana asili ya burundi hukooo...

Sasa alinidanganya kuwa anafanya kazi salon za kikee....

Kumbe bhana kanafanya hizo kazi za kusingaa kinondoni hapo....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina mpango wa kutangaza wala kuharibu,! Ningekuwa na hiyo amri bila shaka ningeharibu. Lakini uwezo huo sina hivyo ndani ya mamlaka yangu kutumia jamvi hili ni kuwatahadharisha wateja ama wale wapendao huduma hii waendapo huko ni vema wakajua mbivu na mbichi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yote tisa kumi ishu ya condoms ulijuaje kwamba hawatumii???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom