Massage parlour ni vituo vya ngono

Massage parlour ni vituo vya ngono

Kati ya hizo mbili ulizopita ipi Ian wadada wazuri, zinaitwaje na bei zikoje. Hebu toa mrejesho watu wachangamkie fursa getrusa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Doam!
Uzuri au ubaya wa mtu. Ni uongo wa macho yako ukionacho wewe kizuri kwa mwingine chaweza kuwa si lolote ama chochote!, lengo la kuleta huu uzi ilikuwa kuwatahadharisha Wanajamvi wenzangu watafutapo timu mbonyezoni vema wakawa makini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo massage parlour pekee hata kwenye hizi saloon za vioo unakuta wale mademu wamekaa kimtego mtego tu. ukishamaliza kunyoa fasta wanakudaka wakufanyie massage huku wakikushawishi ufanye hiki na hiki na hiki. Kwa nature ya mwanaume kumwona demu kwa macho tu ni shughuli, vipi akufanyie massage? kwa hiyo watu wawe na ulewa sahihi wa nini wakitarajie huko kwenye hizo massage parlour na uwezekano ni mkubwa kabisa mademu wengine hutumia kujiuza au kufanya ngono zembe.
 
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.

Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.

Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.

Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.

Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.

Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya
 
Kwenye massage center uko sahihi kabisa!
Mimi binafsi niliambiwa boss akija anachagua mtu amtakaye kumsinga au kummassage kati ya wale alio nao.
Nilipo uliza kuhusu kugegeda nikajibiwa sasa unawezaje kumkatalia bosi..?
Hivi hapo ntakuwa nataka kazi kweli..?
Alimalizia..kwa swali.
Hawa wanaoitwa mabosi ni wale wanaomiliki hizi nyumba ambazo nadhani ama wamiliki wamehama na hawakai tena maeneo ya sinza. Au zimerithiwa. Kutoka kwa wamiliki wa awali..

Kama alivyosema mdau pale juu kati ya wahudumu hao hakuna hata mmoja mwenye taaluma ya kusinga. Wapo pale ili kukidhi tu njaa waliyo nayo.
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.

Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.

Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.

Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.

Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.

Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.

Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.

Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.

Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.

Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.

Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya
Khy na nyie mlimla huyo mdada
 
Mtu MWENYE ndoa au mwenza Kwanini usikandwe kandwe nyumbani kwako?

Enyi wanaume wa Dar inawahusu Hili.
Hiyo kukanda kanda ni Taaluma, Ujuzi na Vipaji vya watu Mkuu. Sio kila mtu anaweza hivyo.
 
Utakuwa umenielewa vibaya Mkuu

Sipingi na wala sioni ni kitu kibaya kukandwa kandwa ,Mimi binafsi ziwezi kwenda hizo sehemu, Mke wangu atanifanya hivo ,,

Maisha ni mtu apendavo
Wewe ni Mchaga ndio maana huwezi kulipia vitu kama hivyo. Acha Wangoni sie tujiburudishe.
 
Hizo massage center na sehemu za kunyoa kwa Sina sio salama. Tulifanya utafiti kwa kumtumia mdada mmoja tulifanya utafiti saloon 13 na vituo vya kusinga 7.

Tulichokifanya ni mdada aliomba kazi kwenye hizo saloon sisi (5) tukawa tunajifanya wateja (kunyoa, scrub na n.k) lakini mlendani ilikua ni kutupa Hali halisi kinachofanyika saloon hapo n.k vivyo hivyo kwenye vituo vya massage.

Conclusion: moja sehemu kubwa ya wadada was salon za kiume ni sehemu ya contact na so called wateja wao na pia sehemu zenye massage kila kitu huishia hapo.

Kwenye vituo vya kusinga hakuna ubishi Yale ni madanguro. Hakuna hats mmoja aliyesomea hiyo kazi wanachofanya ni kukupapasa ili tu maruhani yakupande. No professional staffs hata mmoja.

Kwenye saloon na hivyo vituo ndipo watoto wadogo wanafundishwa ukahaba kwa kisingizio Cha ajira ya kusinga. Mazingira yao Ni hatarishi Sana maana, akifanya hupaswa kutoa commission kwa mwenye kituo hivyo hawaruhusiwi kuwa na condom hivyo akifuata kondom hujulikana kapata mteja.

Hivyo wazee was fast fasta angalieni upya

kusinga ni nini sijaelewa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna haja ya serikali kuwezesha wajasiriamali wa biashara hii kwa kuweka masharti kwa wenye biashara hii ifanywe kwa namna isiyohamasisha ngono. Ni huduma nzuri baada ya uchovu wako wa kazi na pale unapohisi viungo vyako kukakamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom