Massage parlour ni vituo vya ngono

Massage parlour ni vituo vya ngono

Watu tumetofautiana sana aise, , nilipie kukandwa kandwa
 
Kukandwa nje ya nyumbani kuna utamu fulani nyumbani huwezi kuupata. Ni sawa na kunywa pombe bar yenye barmaid wengi na kunywa pombe nyumbani. Ya nyumbani hainogi.
Cc. Mshana Jr
Cc. Faizafoxy
Nyumbani jitu limenenepeana na uhakika wa ndoa za kanisani litakukanda saa ngapi? Ukiomba show jitu linajivuta kama vile lipo usingizini, saa ya show ndo utakoma hatikisiki hata "kipochi" hakijasafishwa
 
Hapo ishu ni ndogo tuu, ukijua kuwa una mpango wa kwenda kukandwakandwa c unaacha ukuni nyumbani, maana ukienda nao ni lazima utautumia tuu, tena bila kuvalishwa mzula, ni balaa sana, mara kuhara, kukohoa, homa za mara kwa mara, gongowazi inachanganyika na vyura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za jioni hii, nimefanya tafiti ndogo kwenye hivi vijituo vya kusinga maarufu kama massage center hasa zilizo Dar es Salaam. Maeneo ya Sinza.!
Nilichokigundua hivi ni vituo maalumu kwa watu wanaohitaji huduma ya kugegeda/kupata papuchi.
Nimekuja na kauli hii baada ya kujiridhisha na kuwa na hakika ya aina ya huduma ambayo inatolewa na wanawake hawa ambao ki ukweli ni sehemu ya kujipatia kipato lakini mazingira yao ya kazi sio salama.!
Kituo cha kwanza nilichoenda mhudumu/ ama binti anayefanya hiyo kazi baada tu ya kumtupia jicho nikagundua kuwa zaidi ya kazi ya massage pia ni (SW. ) sexual worker.! Mtoa huduma ya papuchi.
Nikaachana na sehemu hiyo nikaenda kituo cha pili mazingira niliyokutana nayo na wanawake nilio wakuta hapo kwa kuwatazama tu nilichokiona kituo cha kwanza nikakikuta hapa pia (SW.)
Hata nilipoenda kituo cha tatu bado mazingira ni yale yale.!
Hivyo uamuzi ukawa wangu kusuka ama kunyoa kufuatana na Bei zao.
Jambo la pili nililogundua vituo hivi karibu vingi ni nyumba za watu zilizojengwa kifamilia ambapo ukifanyiwa massage kwenye chumba chenye choo na bafu Master bedroom bei yake ni tofauti na chumba cha choo nje.!
Angalizo.:
Wadada hawa hawaoneshi kama Condom ni kipaumbele katika kazi yao kutokana na utafiti wangu hivyo enyi wateja mnaopenda kwenda kukandwa kandwa.! Amsheni akili zenu. Kumbukeni

"Mchuma janga hula na wa kwao"!!
Na bila shaka biashara hii ni biashara ya msimu kama ilivyokuwa ya mayai ya kwale. Kuweni makini.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako tu haya, wallah mkuu uligonga.

Utaendaje kupiga mechi Kwa kutegemea njumu za klabu!!? Kama zimetoboka je!? Beba zako!!! Kama uwezi karibu chaputa.
😂😂👌
 
Hujui raha wewe. Hiyo hela unayosevu utakufa watakaoirithi wataenda kukandwa

Utakuwa umenielewa vibaya Mkuu

Sipingi na wala sioni ni kitu kibaya kukandwa kandwa ,Mimi binafsi ziwezi kwenda hizo sehemu, Mke wangu atanifanya hivo ,,

Maisha ni mtu apendavo
 
Ulipowatazama wakafanyaje ukagundua ni SW? Pia kwa macho tu ukagundua condom kwao si kipaumbele.... hahaha mdau haya tumekuelewa
huwezijua mkuu....labda yeye huwa anavaa condom kwenye macho!!
 
Back
Top Bottom