getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Wakuu habari za jioni hii, nimefanya tafiti ndogo kwenye hivi vijituo vya kusinga maarufu kama massage center hasa zilizo Dar es Salaam. Maeneo ya Sinza.!
Nilichokigundua hivi ni vituo maalumu kwa watu wanaohitaji huduma ya kugegeda/kupata papuchi.
Nimekuja na kauli hii baada ya kujiridhisha na kuwa na hakika ya aina ya huduma ambayo inatolewa na wanawake hawa ambao ki ukweli ni sehemu ya kujipatia kipato lakini mazingira yao ya kazi sio salama.!
Kituo cha kwanza nilichoenda mhudumu/ ama binti anayefanya hiyo kazi baada tu ya kumtupia jicho nikagundua kuwa zaidi ya kazi ya massage pia ni (SW. ) sexual worker.! Mtoa huduma ya papuchi.
Nikaachana na sehemu hiyo nikaenda kituo cha pili mazingira niliyokutana nayo na wanawake niliowakuta hapo kwa kuwatazama tu nilichokiona kituo cha kwanza nikakikuta hapa pia (SW.)
Hata nilipoenda kituo cha tatu bado mazingira ni yale yale.!
Hivyo uamuzi ukawa wangu kusuka ama kunyoa kufuatana na Bei zao.
Jambo la pili nililogundua vituo hivi karibu vingi ni nyumba za watu zilizojengwa kifamilia ambapo ukifanyiwa massage kwenye chumba chenye choo na bafu Master bedroom bei yake ni tofauti na chumba cha choo nje.
Angalizo.:
Wadada hawa hawaoneshi kama Condom ni kipaumbele katika kazi yao kutokana na utafiti wangu hivyo enyi wateja mnaopenda kwenda kukandwa kandwa.! Amsheni akili zenu. Kumbukeni
"Mchuma janga hula na wa kwao"!!
Na bila shaka biashara hii ni biashara ya msimu kama ilivyokuwa ya mayai ya kwale. Kuweni makini.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app