amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
Mkuu hebu toa maelekezo wadau tukapate huduma. Taja moja yenye vimwana vikali.Siku hzi nikiingia saloon napata huduma zote. Hasa hizi saloon za sinza.
Ni PM tafadhali,nitakupa kozi murua we mrembo.Ivi hakuna mahali wanatoa kashort kozi ka how to massage maana c wote wenye utaalamu uliotukuka
Mkuu hebu toa maelekezo wadau tukapate huduma. Taja moja yenye vimwana vikali.
We nielekeze tu chuo maana vyuo siku hizi ni vingi so naweza bahatisha kinachotoa hiyo koziNi PM tafadhali,nitakupa kozi murua we mrembo.
Mamii,usinifikirie vibaya,nina nia nzuri na nina ujuzi nilisomea Thailand holistic massage,so usifikiri ukija PM unakuja kutongozwa,ila kumbuka kuna fee utalipia kidogo ili nikurushie materials.We nielekeze tu chuo maana vyuo siku hizi ni vingi so naweza bahatisha kinachotoa hiyo kozi
bora wewe usali kabisa kwa mngu wko [emoji16]Naomba Mungu anisaidie nisije kucheat mke wangu majaribu ni mengi sana.
hahaha. utajuaje!?Siku nikimkuta Mume wangu anashikwa shikwa sijui ndio massage atajuta ..
Nyambafff starehe za kijinga.
Sijui kama hili ombi lako litasikilizwa....Naomba Mungu anisaidie nisije kucheat mke wangu majaribu ni mengi sana.
Evelyn Salt naomba kuja PM vipi mlango uko wazi.Sijui kama hili ombi lako litasikilizwa....
Utacheat tu!!!!