Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
soma katuni yake ya tar 17 january 2011 katika gazeti la mwamnchi afu sema tena
Du mod futa hii thread Pukudu, aisee nimeliona hapa ofisini. mbona watu wenye historia nzuri wanachakachuliwa. kumbe ni mpuuzi ebu mod futa haraka sana watu watanicheka.
Hapo kwenye RED inaonekana wewe ndio mpuuzi sasa, maana hata uweleweki unataka nini. kazi ipo.
alichora miili (maiti) nyingi zimerundikwakwa pamoja ka mlima afu kuna kibao kinaelekea juu kimeandikwa umaarufu then kuna mtu ana mavazi ya cdm na kaonyesha alama ya cdm ndo anapanda kwa kasi hyo means kwamba cdm anatumia mauaji kupata umaarufu jambo ambalo n propaganda ya ccm na sisi tulioko arusha tunajua full picha from jana hata mimi nikadoubt kipanya though nlikuwa nahisi ni mwanaharakati ni hayo tu
Nini kazi ya sanaaa? ile cartoon ya tar 17 kama jamaa alivyonijuza na nilivyoiona ni sanaaaa? si uchonganishi ule na kurudisha nyuma move ya mapambano?Masoud ni mwanasanaa na sanaa yake haitakiwi iwakilishe upande mmoja au awe na mawazo sawa yenye kufungamana na upande mmoja. Kuna katuni zake nyingi za kuikera serikali. Mfano wakati wa mkapa inasemekana PM Sumaye alikuwa hapendi anavyochorwa especial masikio na kulikuwa na mkakati wa kuzuia kuwachora wakubwa. Masoud alimchora Sumaye anasoma gazeti la Amerika ndani yake kumechorwa katuni ya Clinton (wakati ule clinton) alikuwa Rais wa US, Sumaye kwenye katuni ile akisema kumbe hata clinton anachorwa katuni!
Nini kazi ya sanaaa? ile cartoon ya tar 17 kama jamaa alivyonijuza na nilivyoiona ni sanaaaa? si uchonganishi ule na kurudisha nyuma move ya mapambano?