Eng Godfrey lupimo
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 148
- 76
Wapinzani siwaelewi mbona, kama mmeona Kuna mazaifu pangeni mikakati muiong'oe CCM 2020 sio kungata midomo na kuedit maneno ya viongozi wa ccm dailyNi kuwa chama kimejaa kina tyson
Bring back Masoud Kipanya
Asante mkuu .Te te te te!!! ujinga wa Masudi, angalia usijeitwa mchochezi....
Yametimia!Te te te te!!! ujinga wa Masudi, angalia usijeitwa mchochezi....
Ndugu yangu angalia vizuri.Hiyo kitu Nyeusi siyo Rungu. Kama unaufahamu vema mchezo wa ndondi, hiyo kitu ni Gulovu (itumiwayo na abaondia wakati wa Kupigana). Na hilo jembe lina makali kama ya KISU....Tafsiri ianzie hapo..Nyundo kwenda Jembe na Rungu. Sasa elewa kazi ya rungu ni nini
Mkuu kipanya yuko wapi?Mchochezi, subiri waku- Ben Sanane
kumekuchaaAf kule Instagram kuna taarifa kuwa jamaa haileweki yupo wapi? Karipoti millad ayo na mange kimambi.........