Masoud Kipanya: Hii ndio CCM mpya

Kazi ya rato au reki si inajulikana? Kazi ya glove ya ngumi si inajulikana?

Jembe na nyundo kama ishara ya chama cha wakulima na wafanya kazi haipo tena,bali mbele kumesimikwa kuburuzana na ubabe wa mabavu ie jembe rato na nyundo ngumi!!

I wish kuld be puromota laiki don king!!
 
CCM inatembeza Mkong'onto kwa kila aliyejinadi ni mpambe wa Edward Ngoyai Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015.
Ndani ya chama na Nje ya chama.
 
Mnafiki tu wewe, usemacho haumaanishi, kesho wewr ndo utakuwa mpiganaji na mtetezi mkuu wa sisiemu.
 
Maanake ukileta upuuzi wako WANAKUKONG'ORI mara moja, hawaangalii wewe ni nani! Mimi naona ni hatua nzuri sana, wacha wamalizane! CCM Hoyeeeeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…