Masoud Kipanya heshima yako kaka

WAKATI MWINGINE TUNASHINDWA KUTAFSRI HAYA MAFUMBO, JE HII NI HII YA JUZI KULE MALAWI, MSUMBIJI NA ZIMBABWE?
Ndiyo hivyo... Unamlisha chakula mtoto wa jirani wakati wakwako anakufa na njaa. Huyu jamaa hivi vibonzo vyake huwa fikirishi sana yani...
 
Kama ni hii ya juzi (Msumbiji na nduguze) hapo kipanya amechemka.
Angechora huyo mtoto anayesaidiwa yuko hoi na mama yake anampepea huku akiomba msaada..ndipo mama Tz aje na kutoa chakula cha mwanae na kumlisha aliyezidiwa.
Hiyo angalao ingetoa tafsiri sahihi.
 
Chora yako uviweke hivyo vyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaishiwa ubunifu hadi anatoa hayo ya kituko cha kukosa uzalendo. Ajionee aibu kwa kutokuwa hajui lolote lile linalohusu misaada.. akiona likatuni lake ni bomba basi achore ya kuonyesha wapi kuna hayo ya kukosa chakula nchini.. husipofanya kazi na...
 
Kusaidia wengine sio mpaka uwe na vyingi ..kile kile ulichonacho unawapa na wengine..acheni ushamba!

Sent using Jamii Forums mobile app


Shida ni hii kwamba tetemeko lilitokea kagera, je unakumbuka yule mkubwa alivyoenda na kuwaambia kuwa serikali "haina shamba"!!, je, kwa hao rafiki zetu waliokmbwa na janga serikali yetu imepata shamba wapi ??
 
Mkuu chora hiyo katuni yako wewe itapendeza,
kila mtu achore anachokifikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…