Masomo ya ujasiriamali

Masomo ya ujasiriamali

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
116
Reaction score
23
Hello wana jukwaa.......
Natambulisha kwenu fursa ya Elimu ya ujasiriamali, nadhani hakuna haja tena ya watu kukaa tu bila kujishughulisha...
Mimi ni mhitimu mtegemewa kutoka chuo kikuu SUA, baadhi ya watu walioko Morogoro wameshafaidika, ila tuna lengo la kusambaa maeneo yote ya Tanzania hasa vijijini. Watakaopenda kushirikiana nasi katika kutokomeza umaskini au ku fund hduma hii ungana nasi [url]www.facebook.com/JitaMobileSchool[/URL]
MAMBO TUNAYOFUNDISHA
1. Usindikaji wa baadhi ya vyakula
2. Batik aina zote
3. Sabuni aina zote
4. Chaki
5. mishumaa
NK.....Bila kusahau,
}}}}}Elimu ya Ujasiriamali na Dhana nzima ya kujitambua ambayo ndiyo elimu kubwa na muhimu kabla ya kuanza project yoyote. Kwwani hata kama mtu utampatia MIKOPO bila Elimu ya kujitambua (change of attitude) utamfunga.
PIA TUNAUZA BATIK KWA JUMLA na REJAREJA.

Tuna VITABU vinavyoeleweka vizuri ila haviuzwi kwa mtu ambaye hajapata mafunzo na VITABU vya kubadlisha mtazamo vya lugha ya kiswahili pia vipo.

wasiliana nasi:
+255 (0) 752 698 691 au +255 (0) 658 698 691..Email: jaymuta@gmail.com na FACEBOOK hapo juu.

"IF U DON'T DESIGN YOUR OWN LIFE PLAN, U WILL FALL INTO SOMEONE'S PLAN"..........Jim Rohn

255 (0) 752 698 691 au 255 (0) 658 698 691..Email: jaymuta@gmail.com na FACEBOOK hapo juu.

"IF U DON'T DESIGN YOUR OWN LIFE PLAN, U WILL FALL INTO SOMEONE'S PLAN"..........Jim Rohn

Shukran Mkuu kwa taarifa.
Hongereni sana kwa hatua hii.
Nimependa ulivomaliza hapo mwisho.
 
Hello wana jukwaa.......
Natambulisha kwenu fursa ya Elimu ya ujasiriamali, nadhani hakuna haja tena ya watu kukaa tu bila kujishughulisha...
Mimi ni mhitimu mtegemewa kutoka chuo kikuu SUA, baadhi ya watu walioko Morogoro wameshafaidika, ila tuna lengo la kusambaa maeneo yote ya Tanzania hasa vijijini. Watakaopenda kushirikiana nasi katika kutokomeza umaskini au ku fund hduma hii ungana nasi [URL="http://www.facebook.com/JitaMobileSchool"]www.facebook.com/JitaMobileSchool[/URL]
MAMBO TUNAYOFUNDISHA
1. Usindikaji wa baadhi ya vyakula
2. Batik aina zote
3. Sabuni aina zote
4. Chaki
5. mishumaa
NK.....Bila kusahau,
}}}}}Elimu ya Ujasiriamali na Dhana nzima ya kujitambua ambayo ndiyo elimu kubwa na muhimu kabla ya kuanza project yoyote. Kwwani hata kama mtu utampatia MIKOPO bila Elimu ya kujitambua (change of attitude) utamfunga.
PIA TUNAUZA BATIK KWA JUMLA na REJAREJA.

Tuna VITABU vinavyoeleweka vizuri ila haviuzwi kwa mtu ambaye hajapata mafunzo na VITABU vya kubadlisha mtazamo vya lugha ya kiswahili pia vipo.

wasiliana nasi:
+255 (0) 752 698 691 au +255 (0) 658 698 691..Email: jaymuta@gmail.com na FACEBOOK hapo juu.

"IF U DON'T DESIGN YOUR OWN LIFE PLAN, U WILL FALL INTO SOMEONE'S PLAN"..........Jim Rohn

Mkuu ila Naomba niwakosoe Kidogo, Kwanza kuhusu Dhana nzima ya Ujasirimali, nazani utakubliana na mimi kwamba Ujasirimali hauwezi kufundishwa, na hakuna Chuo hapa Duniani kinacho fundiha mtu kuwa mjasirimali, hapo ndo tunapo kosea,

Kuna vyuo vya kufundisha Skills za ujsirima au Biashara ila si vy kufundisha Mtu kuwa mjasirimali,

Spirit ya Ujasirimali ambayo ndo Driving force haiwezi fundishwa, na hii ndo driving force ya mtu kuwa mjasirimali bila hii ni uongo, wewe hujiulizi kuna watu wana Phd za Entreprenership lakini wameajiriwa? na wanaogopahata kunanzisha kibanda cha kuchajishia simu,

Tanzania watu wana lack Entreprenership Spirt na bila hii hata ukihudhuria semina 1000 ni sawa na bure, na hii spirit mara nyingi watu huzaliwa nayo, Born Entrepreners,

So Entrepreners ar Born and not Made, na hata kama anatokea baada ya Mtu kufundishwa kitu fulan na akaamua kuwa mjasirimali still ni lazima alikuwa na Sleeping Entreprenership Spirit,
 
Tunashukuru bwana Chasha kwa kutukosoa, Uko sahihi lakini hiyo ni lugha ya matangazo na iliyozoeleka kwa wengi, otherwise hutapata walengwa kama utanyoosha lugha wakati huo walengwa watadhani sio wao. Lugha za matangazo na lugha rasmi zinatofautiana. Ahsante kwa kuwa nasi..............

IDEAS ARE IMPORTANT BUT NOT AS IMPORTANT AS MAKING THINGS HAPPEN!!!
 
Hi WANAJUKWAA.......
Naomba leo tushee hii mbinu kwani kuna watu wengi wanakuwa na aleji namaziwa ya ng'ombe na hivyo ukosa virutubisho muhimu. Tujifunze hii kama alternative kwa AFYA.

MAZIWA YA SOYA
Mahitaji

  • Soya kikombe kimoja
  • Maji ya kutosha
  • Blender
  • Kichujio (cha nazi au juice)
1. Loweka soya na maji mengi ( kikombe kimoja cha soya kwa vikombe vinne vya maji) kwa muda wa masaa 12 hadi 16. 2. Baada ya hapo ondoa maji yote yatakayokuwa yamebaki maana soya ikilowekwa inafyonza maji na kuongezeka umbo. 3. Katika kila kikombe kimoja cha soya iliyolowekwa changanya na maji vikombe vitatu kisha saga kwenye blender hadi zilainike takribani kwa dakika moja. 4. Ukimaliza kusaga chuja maziwa vizuri na uweke kwenye sufuria safi na bandika jikoni. Maziwa yakianza kuchemke yatakuwa yanatoa povu, ondoa kwa uangalifu povu kwa juu ila angalia usitoe na maziwa. Yaache yachemke kwa dakika 15 hadi 20. 5. Epua na unaweza weka asali au sukari kama ukipenda kwa ajili ya ladha. Maziwa tayari kwa kunywa. Pia yanafaa kugandisha kuwa mtindi. Muhimu; Unapoiandaa soya toa maganda yote baada ya kuiloweka kisha ndo uisage na kuichemsha.
NADHANI ITASAIDIA KWA KIASI FULANI.......................

MCHAKATO MWEMA!!
 
Tunashukuru bwana Chasha kwa kutukosoa, Uko sahihi lakini hiyo ni lugha ya matangazo na iliyozoeleka kwa wengi, otherwise hutapata walengwa kama utanyoosha lugha wakati huo walengwa watadhani sio wao. Lugha za matangazo na lugha rasmi zinatofautiana. Ahsante kwa kuwa nasi..............

IDEAS ARE IMPORTANT BUT NOT AS IMPORTANT AS MAKING THINGS HAPPEN!!!

Mkuu i kwambanawakosoa, Ila Kazi zitakuwa na tija endapo mtawalenga wale ambao kama ni juice walisha anza kuproces na kusindika baadhi ya Vyakula, Wapo wengi sana Ila tatizo ni moja tu, Watanzani hawana mwamko wa kusaka ujuzi zaidi, wanataka Mpaka Serikali iwaite kwenye semina tena iwaite na iwalipe,

Nilisha wahi kujitolea kutoa training ya business skills bure kabisa, Lakini cha ajabu washriki waliniambia niwalipe, nilicho fanya nilifunga mafunzo na tangu siku hiyo sikufaya tena,

Na moja ya Aproach mnayo weza kutumia ni kuwa na vikundi na mnakuwa mnafunsha vikundi, Ila ya mtu mmoj mmoja bado ni tatizo sana,
 
Umeeleweka mkuu, tunashukuru kwa mchango wako wa mawazo.......

"Experiences, GOOD or BAD guide your Future".............
George Knight
 
[h=3]PATA MAFUNZO YA BATIK na TIE & DYE BURE[/h]

Jinsi ya kutengeneza BATIK YA TIE & DYE

​
Chemsha maji lita 1
§ Pima dawa pamoja na rangi
§ Weka maji ya moto kwenye dawa
§ Koroga ili iyeyuke
§ Chovya kitambaa kwenye rangi ile sehemu iliyofungwa kwa ajili ya ua lako
§ Kitoe na kiache kwa takribani dakika 5 hadi 15
§ Fungua kamba na suuza kwa kutumia maji yenye sabuni ya maji yenye soda ash ili kusaidia rangi kujishikiza vizuri isichuje.
§ Anika, piga pasi, tayari kwa kupeleka sokoni.

kwa masomo haya na mengine, Email me: jitamobile4u@gmail.com
:A S-key::A S-key::A S-key:ELIMU YA UJUZI ni MKOMBOZI.:A S-key::A S-key::A S-key:
 
PATA MAFUNZO YA BATIK na TIE & DYE BURE

Hapo kwenye bold,hizo ni dawa gani? Funguka mkuu.
 
Mkuu ila Naomba niwakosoe Kidogo, Kwanza kuhusu Dhana nzima ya Ujasirimali, nazani utakubliana na mimi kwamba Ujasirimali hauwezi kufundishwa, na hakuna Chuo hapa Duniani kinacho fundiha mtu kuwa mjasirimali, hapo ndo tunapo kosea,

Kuna vyuo vya kufundisha Skills za ujsirima au Biashara ila si vy kufundisha Mtu kuwa mjasirimali,

Spirit ya Ujasirimali ambayo ndo Driving force haiwezi fundishwa, na hii ndo driving force ya mtu kuwa mjasirimali bila hii ni uongo, wewe hujiulizi kuna watu wana Phd za Entreprenership lakini wameajiriwa? na wanaogopahata kunanzisha kibanda cha kuchajishia simu,

Tanzania watu wana lack Entreprenership Spirt na bila hii hata ukihudhuria semina 1000 ni sawa na bure, na hii spirit mara nyingi watu huzaliwa nayo, Born Entrepreners,

So Entrepreners ar Born and not Made, na hata kama anatokea baada ya Mtu kufundishwa kitu fulan na akaamua kuwa mjasirimali still ni lazima alikuwa na Sleeping Entreprenership Spirit,

Mh! Mkuu kuna watu hawakuwa na idea kabisa!bt baada ya kufundishwa wanafanya vzr tu!mi naona ni uthubutu wa mtu!
 
Nilisha wahi kujitolea kutoa training ya business skills bure kabisa, Lakini cha ajabu washriki waliniambia niwalipe, nilicho fanya nilifunga mafunzo na tangu siku hiyo sikufaya tena,

Duh.. hii kali wanataka wewe ndio uwalipe tena??
 
Join Our Hand Screen Printing and Tie & Dye (Batik) Short Course! 🎨

Are you ready to dive into the world of vibrant colors and unique patterns? Elevate your artistic skills with our 2-Week Hand Screen Printing and Tie & Dye (Batik) Short Course at the renowned Dar es Salaam Institute of Technology - Mwanza Campus!

🎨 Course Highlights:

🖐️ Hand Screen Printing Techniques: Master the art of hand screen printing from our skilled instructors.
🌟 Tie & Dye (Batik) Mastery: Explore the traditional and contemporary methods of creating stunning tie & dye patterns.
🛠️ Hands-On Practice: Work with top-notch equipment and facilities, turning your creative visions into reality.
🤝 Interactive Learning: Engage in a collaborative learning environment, fostering creativity and community spirit.
📅 Course Duration: 2 Weeks

📍 Location: Dar es Salaam Institute of Technology, Mwanza Campus

🎓 Who Can Join?

Art Enthusiasts
Fashion Designers
Textile Enthusiasts
Students
Creativity Enthusiasts of All Levels!
📜 Certificate of Completion: Receive a certificate to showcase your proficiency in Hand Screen Printing and Tie & Dye (Batik).

🔥 Limited Seats Available! Secure Your Spot Now!

📞 Contact Us to Reserve Your Place:
Contact Information: 0765202727 / 0759782826 / 0629153727

🌟 Why Choose Us?

Experienced Instructors
State-of-the-Art Facilities
Practical and Theoretical Learning
Inspiring and Creative Campus Atmosphere
🎨 Transform your passion into art, and let your creativity flow! Join us for an exciting journey of color, design, and self-expression at the Dar es Salaam Institute of Technology - Mwanza Campus.
Enroll Today! 🌟
 
Back
Top Bottom