Masomo ya science ni uhakika kwenye ajira

Masomo ya science ni uhakika kwenye ajira

bahati mbaya Sikuwa naandika.

Angalia neno "sikuwa" ulivyoandika, ni sahihi herufi kubwa kukaa hapo?

Pamoja na hii statement yako "Asante kwa ushauri wako Nitaufanyia Kazi..."

Ni kirudi kwenye uzi wako juu ndio kizungumkuti zaidi.

Hebu ukasome tena halafu uje tena.
Mwanzoni ulivosema nimekosea Nikujua nimekosea kweli kweli! Mpaka nikaogopa Na ulivotaja Kabisa Udaktari Nikajua Huenda unafanya kazi chini Ya HONI SIGARA pale BAKITA 😀😀😀

Sasa nakushauri kitu Kasome Capitonyms Na rules zake zote Maana huu sio wakati wa kujitia Aibu mbele ya watu wakti mwingine ficha ujinga wako mbele za watu.....
 
Bonjour

Kibongo bongo Ukitaka utusue maisha kwenye upande wa Elimu Kwa nyie wadogo zangu, at least usome masomo ya science, na sio usome tu, Yani usome na ufahuru , passmark zako ziwe vizuri sana, kuanzia O level Hadi university, hapa utakuwa una high chance ya kupata ajira serikalini au taasisi binafsi na mshahara sio mbaya sana. Huyu ni Kwa mtu ambae Hana connection..

Ukisoma science Kwa hapa bongo at least una soko kuliko sisi Wana HKL ambao hatuna connection, labda uingie kwenye siasa, na huko kwenye siasa connection muhimu.

Favours nyingi za ajira Kwa hapa bongo, ni Kwa watu walio soma science subjects, Cha msingi ufahuru vizuri,
Wanahitimu kwa maelfu kila mwaka. Ni swala la muda tu nao hawatakua na uhakika. Hata sasa uhakika ni kidogo.
 
Na Mwisho samahanini Ma-Doctor Mliosota~~ Ilitakiwa iwe hivi "Na mwisho samahani kwa Ma-Doctor mliosota" (may be looks like this).

Wewe ni daktari wa ukweli au wa mchongo?
Kingine Mr jifunze kitu Naona unakariri kuhusu Kanuni za uandishi Rasmi na usio Rasmi nakushairi bado endelea kusoma huenda ukatimiza ndoto zako..
Na nakushukuru pia kwa changamoto Asante sana...
Kasome kwanza
Case closed
 
Mkuu huko sahihi kabisa. Mfano mzuri somo la physics ni muhimu kwasababu physics ni kila kitu. Kulala ni physics, kula ni physics, umbea ni physics, kujamba ni phyics, ufisadi ni physics, kutomba ni physics, rinda kutatuliwa ni physics hata kunya nako ni physics.

Masomo ya sayans ni muhimu sana.
Janjajanja akina arts HKL na wenzie tunapeta tu kwenye ardhi ya Mola😂
 
Mwanzoni ulivosema nimekosea Nikujua nimekosea kweli kweli! Mpaka nikaogopa Na ulivotaja Kabisa Udaktari Nikajua Huenda unafanya kazi chini Ya HONI SIGARA pale BAKITA [emoji3][emoji3][emoji3]

Sasa nakushauri kitu Kasome Capitonyms Na rules zake zote Maana huu sio wakati wa kujitia Aibu mbele ya watu wakti mwingine ficha ujinga wako mbele za watu.....
Zingatia herufi kubwa na ndogo ni wakati gani wa kutumika.

Daktari wetu huyu, hahahaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom