Masoko ya mazao haya

Masoko ya mazao haya

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
Nina heka zaidi ya 1700 ambazo ninaweza panda mazao haya, maharage,mahindi, ufuta,alizeti,soya,tumbaku,ulezi etc. Mwaka huu nimepanda heka 120 za maharage ambayo yana mteja tayari na tume saini mkataba wa ununuzi wa hayo maharage . Naweza kulima heka zote kama nitapata soko mapema
 
Mku masoko yapo usijali..we uko wapi unakolimia?je umawahi kulima au nimara yako yakwanza?
 
Mi na lima toka mda then institution ya kilimo hapa mbeya ndio inanipa technical support . Nalimia mbeya wilaya ya momba almost karibu na sumbawanga
 
Mku hapa tz hakuna garenti ya bei y mazao.ila mazao unayotak kulima yanalipa n yanasoko lahakika.cjui wacwac wako n nn?
 
Nataka kulima in large scale na nataka kujua soko linaloweza kizi mahita
 
Mku soko la tz n kubw sna.linakizi.chamana we zalisha..
 
unaogop nn mku masoko yapo.mara nyng tu tunakuwa n uhaba wa chakula tz mpka mipaka huwa inafungw sbb chakula isitoke nje
 
Back
Top Bottom