CCM watakuwa wamemlogaHuyo mwendazake mwenyewe inawezakana kwa asilimia kubwa ameondoka kwa kamati za ufundi, mazingira ya hio accident yananipa mashaka sana.
Kama una kichogo, sio mvaa kobazi, sahau!TANESCO mjipange boss nishapatikana
TANESCO, Immigration, TRA na BoT hufi maskini kwa rushwaKatafute financial statements zao kama wanafuata taratibu za kuandaa soma kipengele cha ‘remuneration’ it’s requirement kuweka wazi wanavyojilipa vigogo.
Moreover Magufuli aliweka ceiling ya tsh 20 kwa mwezi or less kwa vigogo wote wa mashirika ya umma, Baada ya Nehemia kujilipa tsh 40 million, huku shirika halina uwezo hata wa kupata mkopo bila ya government guarantee (jamaa is just a bad financier only lucky) sasa hivi labda wawe wamefuta utaratibu wa ‘Magufuli’.
PoaKuna dereva mmoja tu yupo hapa mkoani .Mshahara anakunja kama wangu wa kidegree cha RUCO na bado ana hela ya usafiri na nyumba kila mwezi.Luku inasoma maelfu ya units basi limenenepeana kama panya wa stoo.Huyo MD siatakuwa anakunja 100 na kitu ukijumlisha salary,magamu na posho.We ingia huko Taa ya nesco kuna hela hukoo.