Maslahi ya Wakurugenzi TANESCO

Maslahi ya Wakurugenzi TANESCO

Nimeumia sana kwa kweli..watu huku wanakimbizana na kukanyagana.😀😀😀
 
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
 
Hayo maslahi mna uhakika nayo? Maana watu wanapambana
Mwishowe unakuta hela ya mbuzi
 
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
Bure kabisa!! yaani badala ya kuja na mikakati ya kutusambazia umeme nchi nzima na kuzima mpango wa kununua umeme Ethiopia, wewe unatuletea matamanio yako ya kununua majumba Dubai!!! Shame on you!!! Au wewe ndo umemuua mtani wangu huyo.
 
Kwa nchi ambayo haina Dira wala Targets.
Kila atakayeteuliwa lazima awe mpigaji.
Haiwezekani unateua mtu-na hana vision ya utekelezaji--na hawajibishwi akikosea.
 
Mbona jina tumeshapeleka kwa President, bado kutangazwa tu, she is a young lady, we endelea na kuroga tu
 
Kwa nchi ambayo haina Dira wala Targets.
Kila atakayeteuliwa lazima awe mpigaji.
Haiwezekani unateua mtu-na hana vision ya utekelezaji--na hawajibishwi akikosea.
We ungeweza bila kupiga? umezungukwa na vigogo we ndyo mtu wa kutoa pasi.
 
Bure kabisa!! yaani badala ya kuja na mikakati ya kutusambazia umeme nchi nzima na kuzima mpango wa kununua umeme Ethiopia, wewe unatuletea matamanio yako ya kununua majumba Dubai!!! Shame on you!!! Au wewe ndo umemuua mtani wangu huyo.
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba
 
Huyo mwendazake mwenyewe inawezakana kwa asilimia kubwa ameondoka kwa kamati za ufundi, mazingira ya hio accident yananipa mashaka sana.
Kweli et dereva wake alikwepa muendesha baiskeli usiku wa saa saba, na hiyo muendesha baiskeli hajulikani
 
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
Komaa na maisha yako dogo
 
Tanesco waliongezewa mishahara hivi karibu baada ya kukaa zaidi ya miaka 16 kama sijakosea ,ila wana pesa za Uhakika ,hawana competition kwenye soko ....Jamaa hawafi njaa hata mtu akope mshahara mzima ,hao madereva namjua mzee mmoja wa kidogo ana maisha safi kabisa...

Kwa posho wako mbali sana.
 
Back
Top Bottom