Maslahi ya Wakurugenzi TANESCO

Maslahi ya Wakurugenzi TANESCO

1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
Ukiwa pale mwendowa vim3mo tuuu um3ona report CAG? Kuna kampuni wachina wamepewa tender 53b kampuni haina uwezo...nawikia Mtoto pendwa ndio ana mkono wake.....bahati mbaya wamempa atumie gari la hao wachina amekula mzinga nalo....kila kitu peupeee
 
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
V8 masaa 24
 
Kuna kazi nyingine kufa nje nje kutokana tu na mshahara wake mnono, marupurupu yake, na madili yake ya kutosha!
 
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.

2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai.

#Reforms_tupa_kule#.

Wabillah Taufiq
Kabla ya sijasema chochote nikuulize kwamba ulifanyaje mpaka mwenzako kapata ajali
 
Back
Top Bottom