Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Hoja ya Nyerere ilikuwa na mashiko tofauti na hii ya wizi wa kura na kudhulumu haki za watu wanazozilalamikia watoa misaada.mbona enzi za nyerere watanzania walikubali kunyimwa misaada?
Huyo Nyerere unayemsema hukuambiwa kwanini alijing'atua??mbona enzi za nyerere watanzania walikubali kunyimwa misaada?
Ndio maana watu waliishi kama wanyama,mbona enzi za nyerere watanzania walikubali kunyimwa misaada?
Hivyo vitu vyote ulivyovitaja mabebru ndio wanaleta?Ndo maana watu waliishi kama wanyama,
Watu walikuwa hawavai viatu, hawana nguo, Hakuna sukari ilikuwa Ni shida
CCM mmeamua turudi huko?
Dogo Alipojiuzulu nyerere mwaka 1985 tulianza kuishi Kama watuHivyo vitu vyote ulivyovitaja mabebru ndio wanaleta?
Mbona enzi za Nyerere Watanzania walikubali kunyimwa misaada?
Tatizo ni chama au watendaji wake?Miaka 60 ya uhuru TUNASHINDWA KUWA HATA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA PINI CHINI YA CCM.
alafu mpumbavu mmoja anasema HATUTEGEMEI MISAADA.
.CCM HOYE....
Chama na watendaji wake!Tatizo ni chama au watendaji wake?
Miaka 25 chama hakina kiwanja au hata msingi wa kujenga ofisi ya makao makuu, hivi hiyo ni akili kweli?Miaka 60 ya uhuru TUNASHINDWA KUWA HATA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA PINI CHINI YA CCM.
alafu mpumbavu mmoja anasema HATUTEGEMEI MISAADA.
.CCM HOYE....
Ndio maana watu waliishi kama wanyama,
Watu walikuwa hawavai viatu, hawana nguo, Hakuna sukari ilikuwa Ni shida
CCM mmeamua turudi huko?
Maslahi ya kisiasa kwa kikundi kidogo cha CCM sio sawa. Taifa hili limejaa watu wenye uhitaji. Hizi propaganda za kutuaminisha kuwa Tanzania haina uhitaji wa misaada ilihali uhalisia wa raia wa Tanzania wanahihitaji hii misaada sio sawa hata kidogo. Viongozi acheni kuwadhulumu watanzania kwa maslahi yenu ya kisiasa. Hawa watu ndio mnaodai mpo kwa ajili ya maendeleo yao. Maslahi yenu ya kisiasa yasiwe maumivu kwa raia wa nchi hii.