Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Katibu Mkuu CHADEMA anastahili zifuatazo kwa Cheo chake,

1. Mshahara 7m TZS/mwezi (take home).
2. Usafiri/Gari SUV (4WD), dereva na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.
4. Posho za safari nje na ndani ya nchi.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzako mshahara unasoma
Unataka wasilipwe? Familia yake itakula kwako? Watoto wake na mahitaji Yao utatimiza wewe? Idiot!
 
Unataka wasilipwe? Familia yake itakula kwako? Watoto wake na mahitaji Yao utatimiza wewe? Idiot!
Hoja ni kwamba bodaboda wasiingie kichwa kichwa Kwenye maandamano ya kwenda Kisutu. Huku familia zinawategemea wakati mwenzao Mnyika yupo kazini tayari kwa mashahar mnono.
 
Back
Top Bottom