Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Maslahi ya Katibu Mkuu CHADEMA

1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Watu hawataki mshahara,bali wasicho kitaka ni kuwepo kwa UCHAFUZI.
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Kuna kiongoz wa ccm ambae hana hizo?
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Utaendelea kuwa maskini mbwa ww
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Hivi wale Wazee wenye Mvi mkawafanya kuwa Bodaboda na kujifanya kutoa matamko ya kuigiza mmewatoa wapi...!?

Yani CCM inakosa hata Think tank wakupanga mambo Yao bila kuacha shaka.
 
😂😂 think tank ya ccm imesizi naona saizi hawana kipya, wtz washindwe kuhoji 12m za wabunge wanazopewa bure waje wahoji za katibu mkuu ccm?
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Ulichoandika ndivyo wajinga akili zao zilivyo. Nani atakomboa nchi? Ni common men.
 
😂😂 think tank ya ccm imesizi naona saizi hawana kipya, wtz washindwe kuhoji 12m za wabunge wanazopewa bure waje wahoji za katibu mkuu ccm?
naona fuzi imekatika, tunaongelea katibu mkuu chadema
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Vipi wewe afande mshahara wako upoje?
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
graduate anaenda na viatu anarudi peku na bila shati dah :pulpTRAVOLTA:
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Hayo ya katibu mkuu sisi hayatuhusu tunachotaka ni haki tu ktk taifa letu
 
Nenda kwa Mzee Hashi
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Hashimu Rungwe ukagombee!!
 
Watanzania sio wajinga, waende kuandamana kwa sababu za wanasiasa mamluki.
 
1. Mshahara 7m TZS/mwezi.
2. Usafiri/Gari SUV (4WD) na posho ya mafuta.
3. Kutumia VIP Lounge akiwa airport.

**Sasa jichanganye bodaboda eti unaenda kwenye kesi ya Lissu wakati wenzao wapo karibu mshahara unasoma
Too low 🚮
 
Kwani mahakama hairuhusu bodaboda kusikiliza kesi?
 
Back
Top Bottom